Tetesi: Mange Kimambi adai Tanzania hamna wauza madawa ya kulevya, asema ni pombe na shetani tu zilimpitia

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,441
2,000
Bloga anayetegemewa kurudi bongo wakati wowote kuanzia leo ameanza kuandaa mazingira mazuri kwa wenyeji wake watakao mpokea bandarini baada ya kuwarushia maneno kadhaa kwamba wanauza sembe ambapo amekanusha taarifa hizo na kusema alikuwa akiaandika hivyo sababu ya pombe na shetani tuu na hivyo kuomba wamsamee mtanzania mwenzao.

Mwanamama huyo aliyekuwa na makazi yake mitaa ya LA ambaye tabia yake ya hata ukinunua Iphone6 anasema unauza madawa ameshindwa kuendelea kukaa mitaa hiyo ya land of the free baada ya kushindwa kulipia gharama za maisha na sponsor wake mkubwa kumwambia atafute the minimum wage job kwenye supermarket ambapo kwa umri wake ana nafas ndogo sana ya kufanikisha.

Naye aliyekuwa mbunge wa Afrika Mashariki anayeendesha kampeni yake ya 'Ulaya ni bomba ila Bongo is best" alipotafutwa atoe maoni yake alisema "yeye arudi tu bongo na kama atahitaji msaada wake yuko available kumhook up na masupa frends na kama atakuwa anaitaji supa Noah kwa ajili ya usafiri wa hapa na pale yuko tayari kumsaidia"'.
 

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,144
2,000
Kweli amekwisha hadi anaomba kurudi...na akina mashosti wake mbona hawaombi msamaha na wengine wengi...

Anaogopa wa sembe huku kajaza maadui wengi sana kwa kila sababu na aliowatapeli pesa za eti yeye anauza vitu akafyeka...duh unalo kaa ulipo.
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,139
2,000
Hivi bila kumjadili huyu dada wa watu hamjisikii?? Mara mnazusha kaachwa najiuliza je nyie ndio mnaenda kuolewa baada ya yeye?? Mnakuja tena kasema hiki mwacheni dada wa watu
 

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,885
2,000
Tatizo la wanawake wa kibongo, hata akiolewa na mtu mwenye pesa bado tu ataendeleza tabia yake ya uswahili. Mademu wa kibongo wanaiga sana maisha mpaka wanaboa. Mimi nilikataa kuoa mwanamke wa kibongo kutokana na ujinga kama nilioutaja hapo juu....hawa ni kuwachapa tu na kuwadiss mpaka wabadilika tabia, tumewachoka.
 

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,595
2,000
Mange is very charismatic. But I
don't know what to think about this
guy since she is a Tz
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom