Haiti: Nchi yenye Serikali inayoongozwa na magenge ya wauza madawa

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,050
Inasemekana kwamba Hayati Jovenel Moise alikuwa yuko mbioni kutaja majina ya wauzaji wa dawa za kulevya.

Kabla ya kuawa kwake mwezi was aba, Rais Moise alikuwa akikusanya orodha ya wanasiasa na wafanyabiasha wenye ushawishi mkubwa nchini Haiti lakini wakiwa wameshikilia biashara ya dawa za kulevya na silaha. Moise alilenga kukusanya orodha hiyo na kuwiasilisha kwa serikali ya Marekani. Madai haya yametolewa na maafisa ambao alikuwa amewapa kazi ya kukusanya taarifa na kutengeneza orodha ya washukiwa hao.

Wanadai kwamba alikuwa amewaagiza kutomuogopa mtu yeyote, hata kama alikuwa ni kiongozi wa juu au wafanyabiashara wakubwa waliomsaidia kuingia ikulu. Madai haya walau yanaweza kutoa sababu iliyopelekea kuawa kwa raisi Moise.

Watu wenye silaha walivamia makazi ya Raisi Moise na kumuua kwa kumpiga risasi huku wakimjeruhi mke wake ambaye naye aliokoka kwa kujifanya kuwa kafa. Walipakua chumba chake na kutapanya makaratasi na mafaili. Pia walisikika wakifanya mawasiliano na mtu asiyefahamika kabla ya kuondoka. Mke wa Raisi Moise hakuwafahamu watu hao na hakujua walikuwa wanatafuta kitu gani.

Askari waliwasili kwenye makazi ya raisi wakimkuta kwenye dimbwi la damu huku karatasi zikiwa zimetapakaa chumba chote. Baadhi ya washukiwa waliokamatwa walikili kuwa walichukua orodha iliyokuwa na majina ya wauzaji wa silaha na dawa za kulevya.

Orodha hiyo ilikuwa ni mojawapo kati ya hatua nyingi alizokuwa akizichukua Raisi Moise dhidi ya wanasiana na wafanyabiashara wakubwa ambao inasadikika kuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa dawa za kulevya na silaha. Wengi wa watu hawa ndiyo waliomweka Moise madarakani na walihisi kusalitiwa.

Mieiz kadhaa kabla ya kuawa, Moise aliamu kusafisha mamlaka ya forodha ya Haiti, kutaifisha bandari inayomilikiwa na familia ya raisi aliyepita ambayo inasemakana ndiyo inatumika kupitisha dawa za kulevya, kuwaharibu uwanja wa ndge unaotumika kuingiza dawa za kulevya nchini Haiti na pia kuchunguza biashara ya samaki aina ya eel inayomilikiwa na familia ya raisi mstaafu ambayo inasemekana inatumika katika kutakatisha fedha haramu.

Gazeti la Times liliwahoji zaidi ya watu 70 na kusafiri katika maeneo tofauti tofauti ya Haiti, ikiwahoji watu kutoka kwenye vitengo tofauti vya serikali ya Haiti, na wanasiasa tofauti tofauti. Times imewahoji rafiki wa Moise wa utotoni, wafanyabiashara, wavuvi, wauza dawa za kulevya, na maafisa wa polisi kuhusu ni kitu gani kilisababisha mauaji yake. Wengi wao walikiri kuwa wanaogopa kuwa nao wanaweza kuawa.

Kinara wa wauza dawa za kuelvya kwenye orodha ya Moise ni Bwana Charles Saint Remy, ambaye anajulikana ka Kiko. Huyu kwa muda mrefu amekuwa akituhumiwa na Kitengo cha Kupambana na Dawa za kulevya cha Serikali ya Marekani (DEA). Pia ni kaka wa raisi mstaafu Bwana Michel Martelly ambaye ndiye alimwinua Moise na kumfanya kuwa mrithi wake.

Bwana Martelly ambaye anakusuudia kugombea tena uraisi, na kaka yake Bwa Remy walihusika kwa kiwango kikubwa katika kampeni za kumweka Moise madarakani. Remy pia alikuwa ni kiungo muhimu kwenye serikali ya Moise, ambapo walikuwa wakishiriki kwenye kila uamuzi katika mikataba, nani ateuliwe kuwa waziri, na mambo yote ya kiserikali. Moise alianza kuhisi kuwa hawa watu wanamfanya shindwe kufanya maamuzi yake binafsi.

Pia wabunge wengi kwenye bunge la Haiti ni wafanya biashara wa dawa za kulevya. Ndege ndogo ndogo mara nyingi huonekana zikitua kwenye viwanja vidogo huku askari wakisaidia kuteremsha mzigo wa dawa za kulevya. Mahakama pia zimeoza na mahakimu hupokea rushwa ili kufuta kesi zinazohusiana na dawa za kuelvya.

Kwa sasa, inadaiwa kuwa Haiti ndiyo lango kuu la kuingiza dawa za kulevya Marekani, lakini hata Marekani wanadai hawana data kamili maana nchi ya Haiti imekuwa ni ngumu sana kuifanya uchunguzi. Wanadai kwamba ni vigumu sana kunasa mawasiliano ya simu nchini Haiti kwakuwa hata askari ambao wanafanya nao kazi mara nyingi wanakuja kugundua kuwa wako chini ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya.

Raisi Moise alipochaguliwa kuwa raisi mwaka 2014, huku kwenye kampeni akinadiwa na raisi aliyekuwa akimaliza muda wake Bwana Martelly kuwa ni mjasiriamali wa ndizi aliyeanzia kwenye umasikini na kuwa tajiri. Alifika mbali hadi kumbatiza jina la Banana Man.

Watu wa karibu wa Martelly wanadai kuwa alikutana na Moise kwenye kongamano na alivutiwa na uwezo wake wa kijasiriamali.

Lakini kwa uchunguzi uliofanywa na gazeti la Times, umegundua kwamba hii siyo kweli kwani Moise ameishi maisha yake kwenye mji mkuu wa Haiti, na watu washirika wengi wa Bwana Moise kwenye baishara ya kilimo cha ndizi wanadai kwamba siyo kweli kwamba Moise alifanikiwa kwenye kilimo cha ndizi. Wanadai kwamba kilimo kilienda mrama na ilikuwa anakaribia kufunga mashamba. Ukweli ni kwamba Moise alikuwa tayari ni mshrika wa Rema (Kaka wa raisi mstaafu) na pia inasemekana naye alikuwa ni mmoja kati ya wafanya biashara wa dawa za kulevya.

Inasemekana kwamba mwaka 2000, Moise alikutana na kuwa mshirika wa Envix Daniel, ambaye alikuwa ni rafiki wa karibu wa Martelly. Inasemekana kwamba Moise alifanya kazi ya kusimamia kampuni ya Daniel inayojulikana kama Mariella Food Products ambayo inatengeneza biscuits. Kampuni hii inatuhumiwa kuwa chaka la kutakatisha pesa chafu.

Remy yeye kwa sasa anakubali kuwa aliwahi kuwa muuzaji wa dawa za kulevya, ila kwasasa anadai kampuni zake zote zinafanya biashara halali. Lakina DEA bado wanadai kuwa Remy bado ni kinara wa wauza dawa za kulevya nchini Haiti.

Remy alikuwa akitumia undugu wake na raisi Martelly, kulazimisha apewe tenda mbalimbali na vibali vya kufanya biashara hasa za kusafirisha samaki. Alipokataliwa alikuwa akianzisha ugomvi. Mwaka 2015 alimshambulia aliyekuwa waziri wa kilimo kwa kumpiga kisa alitoa tenda kwa kampuni nyingine pasipo kumshirikisha.

Bishara ya kusafirisha samaki aina ya eel inashikiliwa na Remy na hakuna kampuni nyingine yenye kibali cha kusafirisha samaki hao. Bwana Moise yeye baada ya kuona hilo, aliamua ajikite kwenye kilimo cha ndizi.

Bwana Daniel alituhumiwa na DEA kwa uuzaji wa dawa za kuelvya mwaka 2013, na siku mbili baada ya kufanya mahojiano na DEA, Bwana Daniel alipotea katika mazingira ya kutatanisha. Taarif zilizopo zinadai kwamba wauza madawa ya kulevya walimpoteza maana walihisi atatoa taarifa zao kama njia ya kupungiziwa adhabu. Mtu wa mwisho anayesemakana alimwona Bwana Daniel akiwa hai ni Moise. Uchunguzi juu yake ulifunguliwa na Bwana Moise alipokamata madaraka ya uraisi aliwafukuza maafisa waliokuwa wanamchunguza juu ya kuhusika kwake na kifo cha Daniel.

Bwana Martnelly alijua kuwa katiba hairuhusu kugombea zaidi ya mihura miwili hivyo aliamua kutafuta mrithi wake ambaye atalinda maslahi yake. Alitaka mtu wa kushikilia madaraka mpaka pale atakapoweza kugombea tena ili kujilinda dhidi ya tuhuma zake za ufisadi wa mamilioni ya dola. Ndipo alipoona Moise anafaa kwa kazi hiyo.

Kwanza Moise alikuwa mweusi tofauti nay eye hivyo angewavutia wapiga kura wengi wa maeneo ya vijijini.

Esther Antoine ambaye alikuwa meneja kampeni wa Moise anakumbuka kuwa Martelly alikuwa ndiye anazungumza kwenye kampeni kiasi kwamba alimfunika hadi mgombea. Esther anadai kuwa alianza kuwa na mashaka kuwa uwepo wa Martelly kulisababisha kutoonekana kwa Moise. Alimwomba Martelly amuache Moise afanye kampeni akiwa peke yake. Lakini anadai jambo hilo lilimkera sana Mke wa Martelly, anayejulikana kama Sophia.

Anadai kwamba siku moja usiku wa manane aliitwa ikulu na mke wa Martelly na kumtaka Esther awe anampa taarifa juu ya kila Moise anachofanya.

Esther anadai alimwambia hawezi kwakuwa yeye anafanya kazi chini ya Moise nasiyo familia yao. Anadai yule mama alimtazama na kumwambia, “Elewa kwamba Moise ni bidhaa yetu. Tunamliki.”

Hata baada ya kushinda uchaguzi na kuwa raisi mwaka 2017, bado familia ya Martelly iliendelea kumbana katika kila jambo. Inasemekana kuwa mara kadhaa alikuwa akipigiwa simu na kufokewa kama mtoto.

Raisi halisi hakuwa Moise bali Martelly. Inasemekana kuwa Moise mara nyingi alikuwa akiacha familia ya Martelly ifanye ufisadi huku akidai kuwa kwa kufanya hivyo hawawezi kumsumbua hivyo atapata muda wa kufanya mambo ya kiserikali kama kujenga barabara na kuleta maendeleo.

Ila kadri ya muda ulivyoenda ndivyo Moise alianza kuhisi hawezi kuvumilia. Pia alipewa kiongozi wa kikosi cha ulinzi wa raisi Bwana Dimitri Herard, ambaye mara kadhaa alionekana akifuatilia nyendo za Moise na kumtaarifu Martelly. Herard alikuwa na tuhuma za kuwa mmojawapo wa waliokuwa kwenye meli iliyokamatwa na dawa za kulevya, ila Martelly wakati akiwa raisi alimkingia kifua na kumwagiza waziri wake amfutie mashitaka.

Inasemekana kuwa Januari mwka huu, Herard alitumia jina la ikulu kuagiza silaha 260 kutoka Uturuki, ambapo baada ya kuwasili Haiti aliziuza kwa magenge ya dawa za kulevya. Baada ya Moise kupata taarifa hakushangaa bali aliogopa sana.

Moise alinza kuwa na mashaka na kitengo cha ulinzi wa raisi, na hapo ndipo kitengo hicho kiliandaa tukio la kwamba raisi anataka kupinduliwa. Mchezo ulienda vizuri ikaonekana kitengo cha ulinzi wa raisi kimezima jaribio la mapinduzi. Kumbe tukio hilo lililenga kupata tena imani ya raisi.

Ila baada ya tukio hilo, Moise aliamua sasa ulikuwa muda sahihi wa kuwamaliza madui zake wote hasa wafanyabiashara na wanasiasa wakubwa ambao wanauza dawa za kulevya. Kati yao alikuwemoo watu waliomweka madarakani na rafiki zake wa karibu kama Bwana Remy na raisi mstaafu.

Alianza kwa kufunga biashara ya samaki ya Remy, kisha akaagiza viwanja vya ndege ndogo vilivyokuwa vikitumika kuingiza madwa vifungwe, ila mamlaka za maeneo yenye viwanja hivyo zikamgomea. ALienda mbali zaidi akaanza mchakato wa serikali kuchukua bandari inayomilikiwa na raisi mstaafu/
 
Haiti ni taifa lililoharibika, yaan rais anawekwa madarakan na wauza unga! kwa hiyo kila rais aliyeko madarakan ni mshirika wa wauza unga!
 
Tanzania nchi yenye Serikali inayoongozwa na magenge yaliyowekwa madarakani na vyombo vya dola badala ya wananchi.
 
Wakaamua wamtangulize mwenzao
 
Mie napenda malaya wa kihaiti tuu
 
Back
Top Bottom