Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Huyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.
Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.
Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
Pia mmoja wa wazazi wake alijiua kwa kuzidiwa kete na muuza madini.Kukurahisishia,huyu ni dada wa mujini enzi hizo alikuwa anadeal na mambo ya mamiss,ni muke ya muzungu huko LA pia,mama wa watoto watatu,kada wa ccm pia etc etc wasifu wake tunaweza jaza page kwa uzuri na ubaya
Sasa nani mwenye kuchukua hatua? Ni Mange au vyombo vya dola? Yeye katoa hints, Kama wanataka ushahidi basi wamwulize atawapa...kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu
Nijuavyo Chifupa na aliyekuwa mumewe wote walikufa kwa ukimwi. Wewe kama unajuwa zaidi, polisi zipo wazi, peleka mashtaka yako huko.
Kuhusu CCM ngoja nikuulize, mama'ko na baba'ko (kama unamjuwa) hawajawahi kuwa CCM?
Isitoshe, athari za unga hazijui chama.
MadharaUnga unahitaji ushilikishwaji wa jamii kwa ujumla ili kuutokomeza, hao wakina chid watu walikua wanawaona tangu mwanzo lakini sasa wanashangaa mazara yake kanakwamba mwanzo hawakujua
hahahaha si walimnaniliuila baba yake alikuwa na hela ndefu sana halaf benet na Mkwere. Licha ya mihela yote akajiua kwa kunywa sumu kwa ajili ya mchepuko tuuuu. Papuchi bana.
halafuyeye yupo kuchafua watu bila ushahidi harafu tukae kujadili...
It only needs a fully loaded gun!Kumkamata Drug Lord inahitaji nguvu zaidi
hawajawahi na hawatawahi kuwa ccm,kama baba ako na mama ako walikuwa huko,basi wangepambana na hao waleta unga ccm.Nijuavyo Chifupa na aliyekuwa mumewe wote walikufa kwa ukimwi. Wewe kama unajuwa zaidi, polisi zipo wazi, peleka mashtaka yako huko.
Kuhusu CCM ngoja nikuulize, mama'ko na baba'ko (kama unamjuwa) hawajawahi kuwa CCM?
Isitoshe, athari za unga hazijui chama.
Mjinga mwenyewe mtu ka ana ushahidi apeleke mahakamani. Kwani hyo sembe MTU huwa ana fosiwa kutumia bila ushahidi ni chuki tu na wabongo maisha yaoiwashinda na kuona wamrpitwa kimaisha huanza majungu.mjinga wewe atoe ushahidi afe??hapa ndio wakati mzuri wa serikali kufanya uchunguzi wa kina.wapi AMINA CHIFUPA??
Tulikuwa na msanii kwa miaka 10 mkuu!Haya majina ya mange ni cha mtoto jk alisema awataja nchi itatikisika anajua ukitaka kukomesha hii biashara anza kupambana Na mwenyekiti biashara yao Na hao ndio rais alisema nchi itatikisika kwa viongozi hawa Wa ccm ndio wanalolipoteza taifa kila sehemu
hawajawahi na hawatawahi kuwa ccm,kama baba ako na mama ako walikuwa huko,basi wangepambana na hao waleta unga ccm.
hiyo mimba sasa,umeaanza kunichukia buree.kwani wabongo wote walioshindwa maisha ndo wenye chuki na wauza unga???think out of da box bibie.Mjinga mwenyewe mtu ka ana ushahidi apeleke mahakamani. Kwani hyo sembe MTU huwa ana fosiwa kutumia bila ushahidi ni chuki tu na wabongo maisha yaoiwashinda na kuona wamrpitwa kimaisha huanza majungu.
Namuonea huruma mme wako.... Atakuwa anapitia mitihan mikubwa sana kwenye uso huu wa dunia
nimewauliza,kumbe wewe ni ndugu wa damu.tena foxy yule mbwa wetu aliyepewa hilo jina kumbukumbu ya wewe kutoroka kijijini.tena ccm ilikuchukua mwenge ulivyokuja.rudi kijijini wewe.Mpe hi Dj mbowe wetu.PEOPLES POWER,PEEEEEEEEEEEEEEOPLES POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER.mpaka kielewekeUshamuuliza babuyo na bibiyo wa upande wa mama'ko, maana nnauhakika wa upande wa baba'ko huwajuwi. Jee, na wao hawajawahi kuwa CCM?
Hahaaa sasa mimba imetoka wapi wewe una lako na kina shamimu kutwa kuwachafua acha zako ungekuwa na nia ungepeleka ushahidi majungu na chuki hayafai ulianza na January kisa mwamy alikutosa ushost Fanya maisha yako nitaamini siku wakikutwa na ushahidi hadharani bila hivo ni majungu tuhiyo mimba sasa,umeaanza kunichukia buree.kwani wabongo wote walioshindwa maisha ndo wenye chuki na wauza unga???think out of da box bibie.
ok,yaishe.asubuhi njemaHahaaa sasa mimba imetoka wapi wewe una lako na kina shamimu kutwa kuwachafua acha zako ungekuwa na nia ungepeleka ushahidi majungu na chuki hayafai ulianza na January kisa mwamy alikutosa ushost Fanya maisha yako nitaamini siku wakikutwa na ushahidi hadharani bila hivo ni majungu tu