Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Tatizo la huyu mwanamke ni kutukana kila mtu bila sababu....!
haaa nakumbuka alikua shoga na Joyce kiria
baada ya kuwekwaga mahabusu ye si alikua mbele kumtoa
wee hiyo siku akampa makavu live tena Ig.. akili yake duh