Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
369
Reaction score
253
chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

"Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama," alisema na kuongeza: "Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu".
 
Alikuwa ni mmoja kati ya wasaliti wa taifa akiwa cdm ila kwa sasa amerudi chama cha wazalendo ccm
 
....Matokeo yake kinakuwa
chama cha baba, mtoto na mke,
hicho si chama," alisema na
kuongeza: "Mimi nilikuwa
Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya
lakini nina historia ya kushindana
nao katika suala la migomo. Ndiyo
maana sina historia chafu ya
kukamatwa wala kufikishwa
mahakamani kwa kuongoza migomo
ama maandamano yasiyo na kibali.
Hii yote ni kwakuwa napenda amani
ndiyo sababu sikukubali kufanya
vurugu".
...Acha kumsema JK kiujanjaujanja wewe. Kwa hiyo Shitambala alipokuwa CHADEMA alikuwa ni mke wa nani? ina maana jamaa ni mliberali?
 
Alikuwa ni mmoja kati ya wasaliti wa taifa akiwa cdm ila kwa sasa amerudi chama cha wazalendo ccm

Wasaliti wa taifa ndo watu gani hao? Na wazalendo ndo wapi hao? Wanaouza nyara za taifa!
 
chama kinachoonekana kutokuwa
na mwenyewe. Alisema vingine
vipo chini ya watu wachache hali
ambayo vimekuwa
vikipeana madaraka wao
wenyewe.
"Tunataka chama kitakachokuwa
cha Watanzania wote, ambao
wakawa na kauli juu ya chama chao.
Hatuhitaji chama kinachoongozwa
na genge la wahuni. Mtu kakianzisha
kaweka hati nyumbani kwake,
mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa
uenyekiti. Matokeo yake kinakuwa
chama cha baba, mtoto na mkwe,
hicho si chama," alisema na
kuongeza: "Mimi nilikuwa
Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya
lakini nina historia ya kushindana
nao katika suala la migomo. Ndiyo
maana sina historia chafu ya
kukamatwa wala kufikishwa
mahakamani kwa kuongoza migomo
ama maandamano yasiyo na kibali.
Hii yote ni kwakuwa napenda amani
ndiyo sababu sikukubali kufanya
vurugu".

You are just a looser guy .Ujinga mtupu kila kukicha hapa online learn how to use these forums .
 
chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

"Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama," alisema na kuongeza: "Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu".

Asikubali kuungana nasi wakati wa mahitaji basi yuko upande wa majambazi, hili halina ubishi utakamatwa kwa lipi wakati uko nao wakamataji???
 
Na aliporudi ccm , amepewa uenyekiti wa Taifa ? Usaliti utamtafuna yeye na kizazi chake chote , Poor Shitambala !
 
ccm mkanywe sumu chadema ndo habari ya mujini kwa wakati wote uliosalia wa maisha yetu
 
Back
Top Bottom