Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

Ok, sasa yeye alikuwa mwenyekiti wa mkoa, aliolewa na nani huko CDM? ...........vyovyote msemavyo, kutosambaratika kwa CDM wakwa hela za CCM ni kutokana na uwezo wa kifedha wa wasisi wa CDM, ambao wanatumia rasimili za, hivyo lazima waweke watu wanao waamini, siasa za Tanzania ni vita, ndani ya CDM inawezekana kabisa kuna virusi vya kuwavuruga, lakini kinga yao ni imara sana, vinginevyo ingekuwa historia kama NCCR-Mageuzi

TANU kilifanikiwa kupigania uhuru kwa sababu ya matajiri wazalendo ambao walijitolea kukigharamia.....

chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu”.
 
Maneno kuntu kabisa haya toka kwa sambwee shitambala.Tunahitaji chama chenye sura ya kitaifa na chenye historia na Taifa hili ,Taifa linapaswa kuwa makini sana na vyama vinavyoota kama uyoga na vyenye historia yakisaccos saccos(chagga development manifesto) maana kamwe haviwezi kuwa na uchungu na Taifa hili.
Asante sana sambwee kwa ujumbe wako murua.

Vipi shonza huoni aibu? Wedada unakitu wewe! Vipi hujapata moto?
 
chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu”.

Huyo shitambala ni muhuni.
 
ukweli hukuweka huru ...kayatoa ya moyoni mwake, tunaomba majibu ya chadema juu ya hii kitu ili kuweka equilibrium kwenye hoja.
 
Nimeamini kuwa hata cku moja mwizi akikamatwa husema sijaiba! hata hapo sishangai
 
Ndani ya chadema kila mtu ni ndugu au ukoo mmoja au kabila moja au dini moja, wakiwa bungeni utadhani wapo kwenye vikao vya kifamilia
 
naona wanajf wengi mnao muongelea shitambala hamfahamu vizuri maana naona munajadili anayoongea yeye tu. Mimi namfahamu vizuri kwani alipokuwa chadema nilikuwa najumuika naye kwenye vikao. Kiukweli kabisa na bila kupindisha mambo, huyu jamaa angekuwa anajiunga kwa mara ya kwanza leo na cdm. Ninaamini chadema wasingeweza kumpa nafasi kubwa kama aliyopewa kipindi kileee, alipewa uenyekiti wa mkoa kwakuwa chama kilikuwa bado kichanga na alikuja na kausanii fulani na kadigrii sijui ka ukweli, na kuwahadaa wanambeya kuwa anaweza kumbe kichekesho.kwenye vikao ilikuwa balaa tupu kunawakati akiwa anaendesha vikao alikuwa anasahau hata jina la chama. ni mwanasheria lakini alikuwa hafahamu hata muundo wa mabalaza ya cdm. kichekesho zaidi ni pale alipoteuliwa kugombea ubunge mbeya vijini 2009 fomu ya mgombea ilikuwa na kipengele chenye sharti la kuwepo na muhuri wa hakimu,yeye alimpa ndugu yake amgongee muhuri wa kampuni. "nitarudi tena.
 
chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu”.
tatizo la njaa tanzania ni kubwa mno.
 
chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

"Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama," alisema na kuongeza: "Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu".

Lako lilikuwa uroho wa madaraka. Huwezi kuwa mwanachama bila kuwa kiongozi? Kwa nini mnakimbilia uongozi? Unaweza kufikisha mbali chama hata kama utakuwa mwanachama tu. Wengi wenu mnakodolea uongozi, chama kitajengwa na nani? Hata TANU, ASP vilikuwa na waanzirishi wake. Hakuna 10 bila moja.
 
Huyu jamaa alikuwa kituko kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 kwani alionekana amepewa chochote na sisiemu, hakuonyesha kama anataka ubunge kabisa hata maeneo mengine ilibidi wenye uchungu watumie ziada kumfanyia kampeni, mimi mwenyewe nilienda maeneo ya igoma siku1 kabla ya uchaguzi na kukuta hakuna maandalizi yoyote hata mawakala hawakuandaliwa, alichokuwa anafurahia kwa cdm ni kupanda chopa ya chadema tu.ukimuona anaposhuka kwenye chopa alikuwa na kicheko cha kujizuia asionekani mshamba. ilifikia hata kusahau ratiba ya kampeni kwani alitumia mamlaka yake kama mwenyekiti kumhadaa dr kuzunguka na chopa na kusahau maeneo mengine kama mbeya mjini nk. ilipelekea dr kurudia tena kuja kumalizia kampeni mbeya. huyu jamaa hakuna anachoweza kuongea jukwaani zaidi ya ukabila na ukanda tu ndio swaga yake kuu, hata kipindi anajiunga na ccm nilimpigia cm akanambia kuwa amehama cdm kwakuwa kabila lake wasafwa wengi ni ccm hawajaelimika. na akasema mbeya wanyakyusa ni wengi cdm wameelimika hawamkubali wanataka kufukuza
 
Back
Top Bottom