Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

Hiyo picha ni kivutio. Unamkumbatia aliyefunga mikono, kujikomba gani huko.
 
Personally I hate leaders who backbite! As a leader in CHADEMA he spoke all the good things about CHADEMA, and all the negatives about CCM. I remember after Mbeya Rural by-election CCM described Sambwee Shitambala as a very week campaigner who could only lifting a hand instead of propagating policies of his party. I wish to hear how they view him now?
Party switching is his democratic right, but he should also respect those who awarded him the first chance to elevate his visibility, I am sure it was not CCM.
 
mr ebu andika vizuri ki2 kieleweke usifichefiche weka wazi vizuri.... si wote humu jamvini ni wataalamu wa siasa kiivyooo
 
Maneno kuntu kabisa haya toka kwa sambwee shitambala.Tunahitaji chama chenye sura ya kitaifa na chenye historia na Taifa hili ,Taifa linapaswa kuwa makini sana na vyama vinavyoota kama uyoga na vyenye historia yakisaccos saccos(chagga development manifesto) maana kamwe haviwezi kuwa na uchungu na Taifa hili.
Asante sana sambwee kwa ujumbe wako murua.

Mnafiki mkubwa wewe(kama kweli wewe ni yule Juliana Shonza).Ina maana wakati unajiunga na CDM hukuiona hiyo "historia ya kisaccos saccos"?Watu imara hawakimbii changamoto au wanapovuliwa uongozi(kama wewe).Wewe ni opportunist uliyemaliza shule ukitaka career boost ya haraka kupitia siasa.Nchi haiwez kuendelea kwa kuwa na watu kama wewe.Ndo maana CHADEMA palikushinda!
 
chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

"Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama," alisema na kuongeza: "Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu".

Tatizo lake hujalijuwa Nasikia Jeiwii ilimshinda kwa ubabaishaji wake, kila akishika kesi kama wakili lazima atajongo,kakosa ubunge mara ya kwanza kwa usenge wake kashakata tamaa na CDM.
 
Personally I hate leaders who backbite! As a leader in CHADEMA he spoke all the good things about CHADEMA, and all the negatives about CCM. I remember after Mbeya Rural by-election CCM described Sambwee Shitambala as a very week campaigner who could only lifting a hand instead of propagating policies of his party. I wish to hear how they view him now?
Party switching is his democratic right, but he should also respect those who awarded him the first chance to elevate his visibility, I am sure it was not CCM.

Usiumie, Shambwee anapenda sana madaraka, akiyakosa kwa usenge wake anaanza mitusi,
Jeiwii ilimshinda baada ya kudai madaraka kisa anadigrii nyingi,
CDM ilimshinda kisa kakosa ubunge, kaenda kujisaini kiapo kwa wakili badala ya hakimu,
Nyinyiemu wamemanganyia madaraka kakimbilia fasta.
Kwa kujongo mahakamani akiwa wakili wako, utajuta!
 
Njaa mbaya kweli. Hivi uzuri wa ccm uko wapi? Maisha bora kwa kila Mtanzania au kasi mpya, nguvu mpya na hari mpya ya kufisadi raslimali za nchi pamoja kuuza dawa za kulevya.
 
Wewe bado haujajitambua hauna tofauti na Huyo Shitambala.
 
chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe. Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao.

Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni. Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake,mwingine kaenda kaoa mke kwa
mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe,hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali.

Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo sababu sikukubali kufanya vurugu”.
YUDA ESKALIOTI HUYO nina uhakika amesha poteza ramani ya siasa na hato kuja kurudi tena mana watu wamesha jua kuwa ni mpenda maslahi yake
 
Angeonekana mjanja km na yy angeazia chama chake hizo zote zilikuwa njaa.au angeenda kuimarisha vyama changa. Chenzea njaa weee
 
...Naona kama analazimisha hiyo hug! au ni macho yangu jamani? du! kushoboka kwingine hadi aibu - halafu nasikia eti naye ni wakili.

taarifa ambazo hazijathibitishwa zinadai kwamba kati ya kesi 50 alizosimamia ameshinda moja tu ! Kama ni kweli itakuwa aibu sana .
 
Back
Top Bottom