Mkuu nilishawahi kuwa mhadhiri msaidizi hapo Kwa hiyo najua UE inashihishwa vipi.Hali mbaya mkuu😂😂😂😂
Aghalabu- Mara nyingiMwanasesere- Kuna midoli ya kuichezesha ndio huitwa ivyoo
Aghalabu- nadra / Mara chache
Jikeshupa- mwanamke mwenye kujifanya kijogoo ndani ya nyumba ie. Nuhu mziwanda
Abadani - katu/ kamwe
Ashik- hamu / uchu
Sawa ndugu napokea masahihisho kwa mikono miwili.Aghalabu- Mara nyingi
Nadra- Mara chache
Shori(mwanamke)Kigoli
Chaudera
Mziwanda
Punyeto