Maneno ya Kiswahili Yaliyopotea

Maneno ya Kiswahili Yaliyopotea

Siyo madam ni maadam.
Pia kuna,
mwanasesere.
Aghalabu.
Jikeshupa.
Manaani.
Abadan.
Ashiki n.k.
Mkuu Dr am 4 real PhD njoo hapa utupe maana ya haya maneno.
Kuna dogo mmoja mtoto wa baba angu mdogo aliwai kusema sikujua kwanini alitumia Yale maneno 😁🤓

Akasema Dr am 4 real PhD yaani wewe una UKIRITIMBA Sanaa nili staajabu mdogo angu huyu kusema eti Mimi na UKIRITIMBA Sanaa 😊 😅

Nilicho tafsiri UKIRITIMBA ni vilee kutaka atekeleze maagizo yangu kama kaka yake mkubwa ndipo akasema kua Mimi Nina UKIRITIMBA Sanaa 😊 mfano nampa kazi manual work na kutaka atekeleze bila kumsikiliza ndipo akasema Nina UKIRITIMBA mkubwa sanaa
 
Siyo madam ni maadam.
Pia kuna,
mwanasesere.
Aghalabu.
Jikeshupa.
Manaani.
Abadan.
Ashiki n.k.
Mkuu Dr am 4 real PhD njoo hapa utupe maana ya haya maneno.
Mwanasesere- Kuna midoli ya kuichezesha ndio huitwa ivyoo

Aghalabu- nadra / Mara chache

Jikeshupa- mwanamke mwenye kujifanya kijogoo ndani ya nyumba ie. Nuhu mziwanda

Abadani - katu/ kamwe

Ashik- hamu / uchu
 
Kuna dogo mmoja mtoto wa baba angu mdogo aliwai kusema sikujua kwanini alitumia Yale maneno 😁🤓

Akasema Dr am 4 real PhD yaani wewe una UKIRITIMBA Sanaa nili staajabu mdogo angu huyu kusema eti Mimi na UKIRITIMBA Sanaa 😊 😅

Nilicho tafsiri UKIRITIMBA ni vilee kutaka atekeleze maagizo yangu kama kaka yake mkubwa ndipo akasema kua Mimi Nina UKIRITIMBA Sanaa 😊 mfano nampa kazi manual work na kutaka atekeleze bila kumsikiliza ndipo akasema Nina UKIRITIMBA mkubwa sanaa
Ukiritimba ni ubepari kwa hiyo kama ulikuwa uanampelekesha bwana mdogo hajakosea kukuita mkiritimba 😀.
 
Ukiritimba ni ubepari kwa hiyo kama ulikuwa uanampelekesha bwana mdogo hajakosea kukuita mkiritimba 😀.
Kwa kweriii nilikua nampeleka Sanaa kumbe UKIRITIMBA ndio maana yake Mimi nilizani

UKIRITIMBA ni mfumo wa utawala ambao haupo transparent nikazania hivyo..
 
Yes, kwa mfano unaweza ukasema "ni aghalabu sana kumwona Monetary doctor majira ya jioni humu jukwaani kwani anakuwa ameshatoka kwenye ofisini anayoifanyia kazi".

Yaani daktari ya fedha mara nyingi huja humu jukwaani ifikapo jioni 😂.
Ni daktari wa Fedha au daktari ya fedha

Afu nilicho note wengi majina wanayotumia humu ndo caption kwenye setting za WhatsApp

Mathalani,

Uraibu,

Ajuza,

Karai,

Ndovu,

Mbogo,

Usiache mbachao kwa msala upitao,

Mgaa gaana upwa Hali wali mkavu,

Mwenda tezi na omo marejeo ngamani

Mashairi ya Cheka Cheka na Theobald mvungi,

Vuta nkuvute
 
Hahahaha 🤣🤣🤣😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom