secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,554
- 44,168
Namtakia kijana wangu Poor Brain UE njema, sapu zisije zikamkamata.Afu unajizima data nitakukung'uta kama Poor Brain mpk ushindwe kuja jukwaani,
Saa hz anapambania ue, mwanao 😂
Namtakia kijana wangu Poor Brain UE njema, sapu zisije zikamkamata.Afu unajizima data nitakukung'uta kama Poor Brain mpk ushindwe kuja jukwaani,
Saa hz anapambania ue, mwanao 😂
zimkamate Poor Brain aache kuni dharau mm baba yakeNamtakia kijana wangu Poor Brain UE njema, sapu zisije zikamkamata.
Ngoja aje aone hii comment yako 😂zimkamate Poor Brain aache kuni dharau mm baba yake
Siogop mtu hata awe naniNgoja aje aone hii comment yako 😂
Atakuja na mikwara ya kufa mtu na hasira ya mtihani.Siogop mtu hata awe nani
Mkora - mhalifu.Pembeni wekeni na maana yake, pia kama kuna neno linalotumika kama mbadala kwa sasa wekeni
Akamtolee hasira hizo assistant lecturer sio mm monetary ntamtafuna na kumtemaAtakuja na mikwara ya kufa mtu na hasira ya mtihani.
Cc Poor BrainAkamtolee hasira hizo assistant lecturer sio mm monetary ntamtafuna na kumtema
Dadek oaaa weee watu wanataka hii semester kwetu isiwe ya mwishoAfu unajizima data nitakukung'uta kama Poor Brain mpk ushindwe kuja jukwaani,
Saa hz anapambania ue, mwanao 😂
Hali mbaya mkuu😂😂😂😂Namtakia kijana wangu Poor Brain UE njema, sapu zisije zikamkamata.
Sina baba wewe mimi..zimkamate Poor Brain aache kuni dharau mm baba yake
Nataka ubaba na wewe, shitSina baba wewe mimi..
Mkuu jitafakari mi staki ubaba na wewe
Hahahahah kwann mpewe bumuDadek oaaa weee watu wanataka hii semester kwetu isiwe ya mwisho
Mama ndo ataamua ugomvi huuNataka ubaba na wewe, shit
Wanazingua kinoma aiseee an hii week naweza sema ni ya motooo mnoooHahahahah kwann mpewe bumu
aseeeh poleni sana Kwan unapiga hapa dsmWanazingua kinoma aiseee an hii week naweza sema ni ya motooo mnooo