golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
but stil ukajifunika ngumi.......nilisaula kwa nimpendaye kwa tabia zake njema zilizonikonvisi na ila kwa yale maneno haya ndo yatakuwa maisha yako yalinishawishi sana.
i like them girls, loo.
but stil ukajifunika ngumi.......nilisaula kwa nimpendaye kwa tabia zake njema zilizonikonvisi na ila kwa yale maneno haya ndo yatakuwa maisha yako yalinishawishi sana.
thank you...
U r always welcomed!
mwanzo alinisumbua hakutaka kunipa kacholi, nikaamua nimpotezee nisimuombe tena. baada ya mwezi akaniomba yeye karoti, na tulipofika faragha akasaula bila kuambiwa kisha akawa anajifunika viganja...!
Hivi sweetie za USO si kibuti au?
usiogope, am all around!Mkuu,ulipotelea wapi??
Mara nyingi wanaume wanapoteza muda kurapu mistari kumbe demu mwenyewe alitamani hata kumtokea mwanaume!
Mara nyingi wanaume wanapoteza muda kurapu mistari kumbe demu mwenyewe alitamani hata kumtokea mwanaume!
Nikopenda mwenyewe sihitaji maneno na ninaweza kuyatoa hayo maneno mwenyewe na mwanaume akasaula hata kama ni Mkuu wa majeshi.
Nisipokupenda hata uumpe mistari diamond, sivui hata Miwani ya jua usiku!