Maneno tata na nukuu za wana JF

Maneno tata na nukuu za wana JF

unapiga salakasi wakati umevaa taulo. nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi by figganigga. mia
 
Sikuja Mjini kwa Mbio za Mwenge,
Nimekuja mjini na Gari la Mkaa
hivyo nina uchungu na Maisha.
By Madame B
 
Unatumia dakika kumi kutafuta Remote ili ubadilishe Channel wakati TV ipo karibu... by Mlaleo
 
Nimeongeza siku figaniga bana unacheza sarakasi huku umevaa taulo kha??? Nimecheka mbaya sana aisee
 
Back
Top Bottom