Maneno machache ya mkuu wa majeshi

CDF wa ajabu sana. Wakati watu wanamtegemea aseme jambo Oct 29-30, akaamka na kuwapiga mikwara wananchi na kuwatishia. Na kuacha wauae kama kuku.
Katika hali ya kawaida, huyu sasa asingekuwa anajitokeza mbele kusema chochote. Angekaa kimya tu kwa sababu alikubali kutumiwa kufanya uovu.
Dhamira yake ni lazima itakuwa inamshtaki mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…