Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Mkuu.....You can do better than this....'mandela is very much our leader, hero. Icon and father as well' JK
Citezen television ya kenya wamesitistisha kurusha live baada ya kumwona Jk,jamani hawa wa kenya uwivu utawamaliza
Citezen television ya kenya wamesitistisha kurusha live baada ya kumwona Jk,jamani hawa wa kenya uwivu utawamaliza
Ndio sasa anahutubia...
Wangecheka wasikilizaji nisingeshangaa, tatizo JK anacheka mwenyewe.
Really???
Bado wanarusha, labda walikuwa na tatizo la kiufundi.Citezen television ya kenya wamesitistisha kurusha live baada ya kumwona Jk,jamani hawa wa kenya uwivu utawamaliza
Duh leo noma hadi matozi/masharobaro Clouds na EATV wamerusha.
Bado wanarusha, labda walikuwa na tatizo la kiufundi.
Wangecheka wasikilizaji nisingeshangaa, tatizo JK anacheka mwenyewe.
Mkuu.....You can do better than this....
Looks like haufuatilii nini Rais JMK anaongea...Kazi yako ni kufuatilia makosa ya kisarufi....Kitu ambacho wenzio pale Qunu hawakiangalii....It's the content that counts
Amemaliza na kusema Mandela alisahau viatu kwa Swai ailyekuwa Waziri wa Viwanda
Ndio mkuu,jaribu kuifungua sasa utakuta wamerudisha matangazo baada ya Jk kuhutubia