Ila Nkwingwa, nadhani hii ni nafasi pekee kwa ulimwengu kufahamu mchango wa Tanzania katika Uhuru wa RSA na Africa kwa ujumla...
na Rais JK anaitumia ipasavyo...
Waandaaji wa speech za rais wetu ni dhaifu. hotuba inaonesha zaidi matukio kuliko kuuleza undani wa matukio hayo na uhusiano na tukio la leo katika nyanja za diplomasia na uchumi.
Ni kutokana na aina ya hotuba anayosoma..Ina visa vya kusisimua na wakati mwingine kuchekesha...Ndio maana unaona hata wasikilizaji wanacheka na kushangilia....
Serikali ya Tanzania ilikuwa ina redio maalumu ikitangazwa kutokea dar es Salaam ikitangaza kwa lugha za kusini mwa afrika...Viatu alivyoviacha Mandelaa kwa Mzee Nsiro Swai kabla ya kufungwa... alivikabidhi kwa Mandela alipotoka jela... Mama Swai yuko kwenye mazishi
Bila shaka Watz kwa leo tutaingia South Afrika wth warm welcome. Katangaza vizuri ukarimu wetu. Ila mnaopitisha unga mtatuharibia dili. Acheni washikaji, Kapuya et al.
Waandaaji wa speech za rais wetu ni dhaifu. hotuba inaonesha zaidi matukio kuliko kuuleza undani wa matukio hayo na uhusiano na tukio la leo katika nyanja za diplomasia na uchumi.
Kikwete mwongo sana...anadanganya live...alimdanganya Obama kwamba umati uliojitokeza haujawahi kutokea...hapa andanganya kuwa umati uliojitokeza kumpokea mandela haujawahi kutokea na rekodi haijavunjwa........Uongo wa MaCCM mbaya sana
JK alivyotaja Mazimbu ameshangiliwa sana.
Pia,kakumbusha viatu vya Mandela alivyovisahau kwa Mama Swai,naye (Mama Swai) kapaishwa kuwa naye amehudhuria.Kashangiliwa pia.