Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

Kuna mishumaaa inawaka na jeneza la madiba lipo katikati ya waombolezaji!
 
Mfasili wa leo mdada. Yupo makini sana.Si kama yule mvutabangi! Ha wakati naandika mara kaja mwingine mwanamme!
 
ANC deputy president anaongea...anatoa maelekezo kuhusu mazishi!
 
Watoto wameimba vizuri sana "Glory Thata Mandela"
Na kuna mishumaa 95 hapo kwenye tukio,live from QUNU,Eastern Cape Province.
 
Nasikia JK atatoa hotuba sijui ni kweli au udaku wa magazeti ya bongo
 
Back
Top Bottom