Mkuu,Kikwete kasema hajui (hana hakika) kama Thabo Mbeki alirudisha pasi yake. Na kasema kiutani tu.
Hakusema kama Thabo hakurudisha. Muwage mnasikiliza kwa makini na kuelewa.
inaelekea wale wa dini nyingine hawakushiriki kuusaka uhuru wa sauzi...maana bwana zuma anataja majina hapa wote wanaonekana wa dini nyingine
Hahahaaaaa Kaunda that's what's up
South Africa wanachaguwa chama boya wewe.
Kama hawamtaki hata leo wanamwondoa na chama kinateuwa mtu mwingine anaapishwa kuwa Rais. Msiwe mnakurupuka kwa msiyoyajuwa. Kuzomea ni kitu cha kawaida sana kwa nchi zenye demokrasia.
Hahahaaaaa Kaunda that's what's up
Acha tabia za Bavicha wote tumemsikia JK kaongea kiutani wewe umeishakimbilia JF kuandika uzi, eti tanzania walikuwa wanafundisha kujilipua sijui umri wako inaoneka haukuepo wakati uleKumbe serikali hii ya Tanzaniandio iliyokuwa inafundisha watu kujilipua. wa South Africa wamekuja hapa wakapewa majina feki, wakaukana uraia wao na walipewa passports za kusafiria na mpaka leo hawajazirudisha.
HAYO SIYO MANENO YANGU
Bali ni maneno ya Mheshimiwa, Ndugu, Mwenyekiti, Rais, Dokta JAKAYA MRISHO KIKWEYE kwenye mazishi ya Mandela huko kijijini QUNU.
Jk amesema wazi kuwa huyu rais wa sasa wa South Africa bado hajarudisha passport aliyopewa ya Tanzania kusafiria
sasa cha kujiuliza je AMBOKILE na IMMIGRATION wanajua hawa wa South Africa wangapi wana passports za Tanzania na south Africa?
au tumeamua kusamehe?
kama ni kwenye intelligence bas JK amme mmade Zuma live dunia nzima imeona.
Kutokua na elimu kubaya sana, mama wa taifa nyerere angekua anajiweza hata kwa lugha tu angepewa nafasi ya kuhutubia leo
Yupo ndani ya nyumba toka day one ya shuguli zote za msibaJamani tunabishana hapa et mama Maria yupo Qunu au laa? me nawaambia hayupo au sipo sahihi? niambieni wakuu
kikwete ameshine Leo..naona Kaunda pia kamtaja...
huyu mama Graca bado anaita sana tu.
Kikwete kasema hajui (hana hakika) kama Thabo Mbeki alirudisha pasi yake. Na kasema kiutani tu.
Hakusema kama Thabo hakurudisha. Muwage mnasikiliza kwa makini na kuelewa.
Wewe!!!!!! Kuna Mganda mmoja kasema "Graca married Samora and he died, she married Mandela and he is dead, how i wish she marries Kaguta Museven so that he goes too"!!!!huyu mama Graca bado anaita sana tu.
Yani kwa muonekano wa kikwete,
asipojitambulisha unaweza kusema ni rais wa
Brazil hivi. Jamaa ana haiba, alafu haongei
pumba, he got sense of charm ana ongea kwa
historical reference. In short najisikia raha
kusema JK ni rais wangu.
Sipati picha ndio eti rais wa nchi ni dokt slaa, au
mrema wangelitia aibu taifa