Ukikumbuka mtu kama foden man city haanzi first eleven unabakia kucheka tuuWazee wa kisingizio cha majeruhi, angalieni kikosi cha liverpool kilichoanza leo, angalieni na mpira wanaocheza mpaka sasa dakika ya 45.
View attachment 2916173
Nipo hoiZe-dudu yupo wapiii
Hali tete sana Mkuu..Nipo hoi
Siku glazers watakapobwaga manyanga na ndio mikosi yote itaondoka pale traford
Hapana Man United wachezaji wanaflop kutokana na mfumo wa mwalimu.Ngolo Kante anayecheza saudia arabia ni bora zaidi kuliko casemiro wa msimu huu.
Hili zee benzema hatuwezi kulichukua japo kwa miaka miwili?
Bado lipo fiti kuliko jackson
High press iyo huioni ama dharau 😂😂😂Huyu mpuuzi huwa anafundisha nini mazoezini??
View attachment 2917899
United itakuuaINEOS wasipofanya operesheni ya moyo hawatofika mbali.
Ni mchakato unaoweza kuchukua madirisha mawili makubwa ya usajili.
- Eriksen mwili wake hautaki tena kugombania mpira.
- Tukubali makosa ya kusajiliwa wan bissaka, level yake ni crystal palace.
- Varane bado ana kitu mguuni lakini mwili hautaki tena, majeruhi yasiokwisha huku akiramba mshahara mkubwa.
- Kulipa millioni 60 paundi kwa casemiro mwenye miaka 30 kwenye dunia yenye ruben neves, palhinha ni kosa jengine la kutoipa umuhimu future.
- Kwanini tulimsajili Onana ikiwa mfumo wetu wa uchezaji ni ule ule, tujiulize amekuja kuongeza nini, hapa kipara awajibike.
- Tuache tabia ya kupapatikia wachezaji kwa hoja mfu, tuliwahi kukataa kumuuza lingard kwenda newcastle kwa hoja ya kumuimarisha adui, msimu huu klabu imekataa 30 millioni kwa scott mctominay, ni kichekesho.
- Klabu ya mpira si hisani, luke shaw aonyeshwe mlango wa kutokea, amekosa mechi nyingi sana kwa hoja ya majeruhi na pia hana consistency.
- Nguvu aliotumia kipara kumgombania amrabat hailingani na anachomfanyia, hapa tumelipa paundi millioni 10 kwa mkataba wa mwaka mmoja, kosa jengine la kipara.
- Victor lindelof hawezi kuwa na miujiza na hatokuwa na miujiza.
Unachosema hapa ni sawa sawa unamiliki duka la vipodozi, bidhaa nyingi zime-expire unaogopa kuziondoa zote kwenye mashelf kwa sababu duka litaonekana limefilisika.INEOS wasipofanya operesheni ya moyo hawatofika mbali.
Ni mchakato unaoweza kuchukua madirisha mawili makubwa ya usajili.
- Eriksen mwili wake hautaki tena kugombania mpira.
- Tukubali makosa ya kusajiliwa wan bissaka, level yake ni crystal palace.
- Varane bado ana kitu mguuni lakini mwili hautaki tena, majeruhi yasiokwisha huku akiramba mshahara mkubwa.
- Kulipa millioni 60 paundi kwa casemiro mwenye miaka 30 kwenye dunia yenye ruben neves, palhinha ni kosa jengine la kutoipa umuhimu future.
- Kwanini tulimsajili Onana ikiwa mfumo wetu wa uchezaji ni ule ule, tujiulize amekuja kuongeza nini, hapa kipara awajibike.
- Tuache tabia ya kupapatikia wachezaji kwa hoja mfu, tuliwahi kukataa kumuuza lingard kwenda newcastle kwa hoja ya kumuimarisha adui, msimu huu klabu imekataa 30 millioni kwa scott mctominay, ni kichekesho.
- Klabu ya mpira si hisani, luke shaw aonyeshwe mlango wa kutokea, amekosa mechi nyingi sana kwa hoja ya majeruhi na pia hana consistency.
- Nguvu aliotumia kipara kumgombania amrabat hailingani na anachomfanyia, hapa tumelipa paundi millioni 10 kwa mkataba wa mwaka mmoja, kosa jengine la kipara.
- Victor lindelof hawezi kuwa na miujiza na hatokuwa na miujiza.
Sisi ni tofauti na chelsea linapokuja swala la kuuza wachezaji (hatuna mvuto)Unachosema hapa ni sawa sawa unamiliki duka la vipodozi, bidhaa nyingi zime-expire unaogopa kuziondoa zote kwenye mashelf kwa sababu duka litaonekana nimefilisika.
Ukiondoa Simba na Kaizer Chiefs Man United ndiyo timu inaendeshwa hovyo zaidi duniani kwa vilabu vikubwa.INEOS wasipofanya operesheni ya moyo hawatofika mbali.
Ni mchakato unaoweza kuchukua madirisha mawili makubwa ya usajili.
- Eriksen mwili wake hautaki tena kugombania mpira.
- Tukubali makosa ya kusajiliwa wan bissaka, level yake ni crystal palace.
- Varane bado ana kitu mguuni lakini mwili hautaki tena, majeruhi yasiokwisha huku akiramba mshahara mkubwa.
- Kulipa millioni 60 paundi kwa casemiro mwenye miaka 30 kwenye dunia yenye ruben neves, palhinha ni kosa jengine la kutoipa umuhimu future.
- Kwanini tulimsajili Onana ikiwa mfumo wetu wa uchezaji ni ule ule, tujiulize amekuja kuongeza nini, hapa kipara awajibike.
- Tuache tabia ya kupapatikia wachezaji kwa hoja mfu, tuliwahi kukataa kumuuza lingard kwenda newcastle kwa hoja ya kumuimarisha adui, msimu huu klabu imekataa 30 millioni kwa scott mctominay, ni kichekesho.
- Klabu ya mpira si hisani, luke shaw aonyeshwe mlango wa kutokea, amekosa mechi nyingi sana kwa hoja ya majeruhi na pia hana consistency.
- Nguvu aliotumia kipara kumgombania amrabat hailingani na anachomfanyia, hapa tumelipa paundi millioni 10 kwa mkataba wa mwaka mmoja, kosa jengine la kipara.
- Victor lindelof hawezi kuwa na miujiza na hatokuwa na miujiza.
Open heart surgery ya Ralf ilikuwa na maana kubwa sana kama ingezingatiwa tungekuwa tulishaondoa.Sisi ni tofauti na chelsea linapokuja swala la kuuza wachezaji (hatuna mvuto)
Tupo ovyo sana eneo hilo ndio maana nimeweka madirisha mawili ya usajili.
Vile vile hatuna nguvu ya kureplace wachezaji 10 kwa mkupuo kwa sababu sisi hatufanani na Yanga au Simba.
Msikate tamaa. Bado ligi haijaisha mtawapita tu hao Sheffield kwenye suala hilo.mufc have conceded 435 shots in the Premier League this season. Only Sheffield United have conceded more.