Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Piga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii sasa ndio ile inaitwa kula kwa jasho wakati ndugu zetu Asenyo wenyewe ikitimia miezi 9 ya ligi huwa wanazaa kwa uchungu. View attachment 2908369
1. Piga bao 2 za bahati nasibu chini ya dk 8.

2. Paki basi.

3. Points 3

Hatuwezi kuwalaumu. Ndiyo maisha mliyochagua.
 
1. Pambania ubingwa mpaka dakika za mwisho..

2. Cheza mpira mzuri

3. ubingwa achukue Liver/man city

Hatuwezi kuwalaumu. Ndiyo maisha mliyochagua.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ama kweli kila mmoja na maisha yake. Mwishowe sisi tunamaliza kwa huzuni, nyie mnamaliza kwa furaha halafu sisi ndiyo tunawaona nyie vichaa, kumbe kichini chini nyie mnatucheka sisi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ila United ya EtH inashangaza na kufurahisha, kwenye BIG 6 ndiyo timu inayocheza mpira mbovu msimu wote huu ila points wanapita nazo.
Mkuu bado uko na hawa ndugu zetu au umeshahamia Brighton and Hove '5G' Albion mazima?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ama kweli kila mmoja na maisha yake. Mwishowe sisi tunamaliza kwa huzuni, nyie mnamaliza kwa furaha halafu sisi ndiyo tunawaona nyie vichaa, kumbe kichini chini nyie mnatucheka sisi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Maisha ndo haya haya mkuu mpira ndo huu huu
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ama kweli kila mmoja na maisha yake. Mwishowe sisi tunamaliza kwa huzuni, nyie mnamaliza kwa furaha halafu sisi ndiyo tunawaona nyie vichaa, kumbe kichini chini nyie mnatucheka sisi [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mpaka maandiko ya Agano la kale yanaizungumzia Asenyo ni fungo la kukosa, vile tu nyie hua hamsomagi bible kwa umakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…