kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,773
- 20,681
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tabu wanapata wale Marastafari wanaokulaga nyama.2nd half nyumbu mtapata tabu sana.
Hilo halina mashaka, ni suala tu la muda Villa pamoja na ndugu zake Arsenyau watashuka tu huko kwenda kuwaunga mkono ndugu zao Marastafarian.Aston Villa ashuke mpaka wa 14-15 huko. Jinga kabisa
Watupe tu pointi zetu tatuKituo kinachofata ni Luton 18 Feb
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tabu wanapata wale Marastafari wanaokulaga nyama.
Acho kuteseka broo njoo upate ubatizo wa maji ya moto. View attachment 2901175
Wamewaka siku hiziWatupe tu pointi zetu tatu
Wamewaka siku hiziWatupe tu pointi zetu tatu
Nyie pigeni mdomo tu ila mna point zetu pale OT.ETH anatamba anasema kwasasa anampiga yeyote [emoji1787][emoji1787]
Amecheza na villa lakin anadai alistahili kuifunga Arsenal na Liverpool [emoji1787][emoji1787]
Huyu kocha manjesta fans wanadai simpendagi ,kaangalieni stats za hizo mechi
Hata hiyo ya villa kabahatika ,siokwamba aliukamata mchezo ,lakini cheki anavyotamba
Utofauti wa Flano na ETH ni upiView attachment 2901420
Avi ya gaurdiolla anatoa ushauri kwa man united wapi na wapi au ndio plastic fans hao?
Huwez kupata hata on target Kwa ArsenalNyie pigeni mdomo tu ila mna point zetu pale OT.
We jamaa unapenda sana kusema ukweliHuwez kupata hata on target Kwa Arsenal View attachment 2902303
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli ndio muda wake huu wa kutamba, siku atayopigika ndio siku anayozima simu na kuchomoa line kabisa.We jamaa unapenda sana kusema ukweli