Manchester United (Red Devils) | Special Thread

NtYga umepotea mkuu
Kaka ETH ananiangusha mpaka nakosa nguvu za kuweka habari za chama kubwa maana Hashtag ninayomwekeaga #𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒπŸ‡³πŸ‡±βš™οΈ haiendani na anachokionyesha uwanjani ila mimi nipo sana tu.
 
Issue ilikuwa management embu tuone Sir Jim atafikia wap na yeye

Jikaze hivyo hivyo binafsi ningekuwa na uwezo wa kuhama team ningehama muda

Naona kama kuhama kuna uhusiano na usaliti....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…