Manchester United (Red Devils) | Special Thread

 
Source 1
Man city vs liverpool
Man city vs arsenal
Arsenal vs liverpool

Source 2
spurs vs liverpool
Spurs vs arsenal
Spurs vs man city


Afadhali mechi nzuri na bora za kufuatilia ndani ya PREMIER LEAGUE zimeongezeka tofauti na miaka mitatu nyuma.

Nimeangalia marejeo ya mechi ya jana ya liverpool wala sijajutia muda wangu.


Kuna kubwa jinga la zamani likicheza dhidi ya hizo timu anafika kwenye boksi la adui mara 10 kwa dakika 70 hadi 90.
 

Mbona umeongea mambo mengi ya uongo

Arteta ametumia mifumo mitatu toka aje Arsenal ,3-4-3 ,4-2-3-1 na 4-3-3 mpaka Sasa

Sven misiltant alikuwa head of scouting Lakini majukumu yake mengine yalikuwa Kama Director of football

Unadanganya Arteta alitaka kumuuza Saka ,huu Ni uongo mkubwa

Uongo mwingine mkubwa ,Saliba ,Leno ,Toreira ,Ceballos , Tierney , Sio sajili za Emery , Emery alikuwa head coach tu

Ndio maana hata hizo Sajili bado alikataa kuwatumia mchezaji Kama Toreira ,Ceballos , hata Pepe baadae alianza kumpiga bench sababu chaguo lake alikuwa Zaha,


Emery hakuwa kufanya sajili yoyote hapo Arsenal,ukitaka ushahidi wa kila sajili unazodanganya hapo juu nitaweka ,Saliba, Martinelli ,Ni sajili za Fransis Cagigao ,Leno, Toreira,Auba,Guendoz ,Tierney Ni sajili za Sven misiltant

Emery hakuwahi kusajili mchezaji yeyote hapo Arsenal narudia Tena huu Ni UONGO MKUBWA.

EMERY alimtaka Zaha ,bodi ikagoma ,Emery alikuwa tayari kumtoa Saka plus £40m bodi ikazuia

Nakupa na hii Emery huyo huyo alikuwa tayari kumtoa Smith Rowe plus £25m ampate Upamecano aliyekuwa Leipzig kipindi Smith yupo Leipzig kwa mkopo

Sijui unanielewa

Emery amewatumia Saka Kama beki ,martinell Kama CF, Tena hawazidi hata mechi 5 ,

Arteta ndiye aliyekuja akawaamini na kuwapa namba 7,10 na 11

Akamtoa Saka Kama LB kwenda LW ,LW ,LCM had RW

Arteta ndiye kamfanya Saka ,martinell kuwa moja ya mawinga Bora duniani

Narudia Tena Sajili za Saliba ,Martinelli Ni za Francis Cagigao ,Emery aliwataka kina Nzonzi ,kutoka Sevilla


Nakusubiri uje na uongo mwingine ,mm na ushahidi mwingi Sana
 
Mimi ni shabiki wa Arsenal ila nakuunga mkono kwenye mambo mengi uliyoandika hapa.
 

Kwenye Talent ID Emery Ni poor ndio maana unaongea vitu usivyojua

Saliba ,Martinelli , saka ,Smith Rowe sio sajili za EMERY ,

Fransis Cagigao Ni scout wa Arsenal kwa miaka zaidi ya 20 ,ndiye aliwaskauti kina fabregas ,Reyes ,Lauren, N.k

Ndiye alimtumia fabregas akiwa Monaco kumuangalia Saliba


Huyu skaut ndiye alimskauti Martinelli Brazil wakisaidiana na Edu aliyekuwa national team ya Brazil ,hapo Emery Ni head coach na hajui lolote

Huyu Cagigao ndiye aliacha report asajiliwe Thomas Partey ,kabla hata Arteta hajaja,


Arteta ndiye aliyekuja akawaamini hao vijana na kuwapa namba iconic 7,10,11

Akamsajili na Ødegaard aliyekuwa anaonekana flop Madrid akampa no. 8


Saka chini ya Emery katumika Beki na LW mechi hazifiki 5 ,hajawi kuwa RW


Ni Arteta ndiye alimbadilisha kutoka LB kuwa RW bora duniani


Unauliza kabisa wachezaji gani Arteta kawafanya world class


Ngoja nikupe somo


Saka kutoka mchezaji wa academy Hadi kuwa world class kwasasa ana value ya €195m

Ødegaard kutoka Madrid flop had kuwa world class

Martinelli huwez kutaja mawinga Bora EPL Usimuweke ,nitakupa na data

Saliba unayedai alisajiliwa na Emery wakati uongo ,huyu Ni world class CB ,hajawahi hata kucheza kwa Emery ,hii Ni sajili ya bodi


Na kwakukusaidia tu ,Arteta ametumia around €500m hivi kutengeneza timu ambayo thaman yake Ni around €1B

Maana yake wachezaji wame improve na kupanda thamani zao

Arsenal ya Arteta Ni ya 2 duniani kwa Most valuable squad



 
Mbona bado unadanganya ,Emery alifanya kazi na Edu na hawakuendana kabisa kiamono


Edu kafanya kazi na Emery labda Kama hujui


Na Edu amezungumza mara nyingi Sana ,Emery hakuwa anafaa

Arsenal ndani ya miezi 6 imetoka kumuajili Sven misiltant na Edu ,Emery akamtaka aletewe na Monchi

Huo ujinga klabu ilikataa ,

Emery alifeli Arsenal vibaya Sana timu ilikuwa na mifumo isiyoeleweka ,mpira wa ovyo

Arsenal ilikuwa na wastan waku face shots 16 per game

Mpaka anaondoka hakuwahi kuwa na First eleven au kujulikana alikuwa anatumia mfumo gani

Kama unaujua utaje hapa nitakuletea list ya alitumia mifumo mingapi

 

Unawezaje Mhukumu EMERY Kwa Msimu mmoja na Nusu dhidi ya Mtu aliye na Misimu 5!? Kingine umezungumza Kuhusu IDENTITY lakini Umekwepa Hoja yangu Juu pale Kuhusu EMERY kufanya kazi bila Mtendaji wa Michezo.

IDENTITY ni Ipi unaisemea wewe na Misimu karibu Miwili ARTETA Kacheza na Beki watano? Kitu Kimoja kinachomfanya ARTETA Kuyajenga yote hayo ni watu kutokuwa na Mategemeo naye makubwa na kuwa na Uongozi wenye Malengo sawa hasa Kumpa EDU, EMERY sajili zake asilimia kubwa zilikuwa ni Ripoti ya Mkuu wenu wa Scouting na yeye ilikuwa kupitisha tu, Targets zake nyingi hajapata sababu ya kutokuwa na Mtu wa Kumsaidia kama ARTETA na EDU.

SALIBA alikuwa anatakiwa na UTD, BVB, SEVILLA, ROME, hili Dili EMERY alilifanya na Yeye ndo alietaka kuwepo na Kipengele cha yeye kubaki ST. ETIENNE, ARTETA hana say kwenye Hilo.

Mnasema Kuhusu TALENT ID, Mzee kuna mchezaji gani umenitajia hapo amekuja akiwa Unproven? ODE yupo na Miaka 15 Kila timu kubwa ilikuwa inamtaka, MADRID mwisho wa siku ikikuuza haina Uhitaji na wewe na hata Leo ODE hana namba kwenye MD ya Madrid.

KIZURI UMEKUWA NA KAULI NZURI KWAMBA EMERY HAKUWA MBAYA, ILA ARTETA UME-OVERRATE MENGI, EMERY Ni Mwalimu haswa Hakuaminiwa na Kupata Muda wa kutosha ARSENAL na kuwa na watu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…