Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
Nikisikia neno MPITO/TRANSITION PERIOD linatamkwa na shabiki wa Man U najawa na povu vibaya maana nahisi ni David Moyes mwenyewe kaja JF sema anatumia fake ID...
Samahani mkuu bily kama ntakua nimekukera ila justifications za "kipindi cha mpito" kwangu mi zinagoma kabisa kuingia akilini
Hivi mkuu huo mpito tunaopita ni kutoka wapi kuelekea wapi...from what I see tulipoanza league tulikua bad ila naona sasa tunaitafuta worse..
Wakuu hakuna jipya zaidi ya Moyes kuendelea kuset record mpya..tunakoelekea hata hiyo eufa ndogo itabiki ndoto tu "God forbid "
Ila Moyes...!!! Basi tu...
Beckham aliposhindwa kufata maelekezo ya Fergie alikiona cha mtema kuni..alibamizwa kiatu cha usoni nafikiri hatasahau maishani mwake and this set a precedent who is a BOSS of the team...
Manager wa timu hayupo pale kumfundisha cleaverly kupiga pass bali ni kumpa majukumu ya kupiga pass na kuipiga kwa malego na mwisho wa siku kumfanya huyo cleaverly ayapokee majukumu anayopewa na manager na kuyafanyia kazi by any cost...ukiona wachezaji wanashindwa kuyafata na kuyaheshimu maelekezo ya manager then that is not the right person for the job.
#moyesout
not to mention rekodi lukuki alizovunja kweli sikio la kufa halisikii dawa.mimi ni mmoja wa waliokuwa wanaamini MOYES atatufaa. kwa kweli nilikuwa naive.Moyes has no clue.Hafai jana alithibitisha kuwa hawezi kufanya chochote ili mchezo ubadilike hebu soma hii
In 13 matches against teams in the top nine of the Premier League, United have managed just one victory and accumulated seven points. It is beyond pathetic
Moyes' side have now scored just one goal in five home fixtures against the top five this season.
United will get back to their previous levels one day - but Moyes is not the man to take them there
goal.com kweny ukurasa wao wa fb wamepost maelezo hayo na picha hiyo kama mnavyoiona lets hope ni habari njema sana kwa mafans wa man u binafsi naomba sana iwe ni habari ya moyes kutimuliwa
View attachment 147357
kwa wasiiona picha vizuri maelezo yanasomeka ` Big Manchester United update coming later this evening..`.
Kaka fingers closed naomaba wishes zangu ziwe kweli #moyesout
so far kuna update mbili kunaya uongozi wa manu wanafikiria kumfukuza moyes na kumtafuta mbadala wake link hii hapa Manchester United considering Moyes replacements? - Goal.com
na pia kuna tetesi arab funded project wakishirikiana na wakongwe wa zamani wa man u wakiwemo nevvile brother,giggs,scholes na butt wanataka kuinunua man u link hii hapa Football Transfer News, rumors and gossip - Goal.com
lakini pia exclusive nyingine iliyotokea muda si mrefu sana ni kwamba man u fans waaandaa protest ya kumpinga na kushinikiza moyes aondoke link hii hapa Manchester United fans plan fly-past protest against
Moyes - Goal.com
Yawe ya kweli yote......
Amen
Mbona mnakuwa sio wavumilivu nahiki kijipindi cha mpito.
Kuweni wavumilivu wajamen kama liver pool.
Mambo yatakaa sawa tuu mda ukifika.ukishuka sana mteremko kumbuka mlima upo karibu so jiandae kupanda mlima.
Mmecheka sana man u huu ni mda wenu wa kufuta machozi kidogo
i can't wait to see it.mashabiki wa MAN UTD wanapanga kukodisha ndege itakayokuwa inapita juu ya OLD TRAFFORD siku ya jumamosi timu ikiwa inacheza na ASTON VILLA. ndege hio itakuwa na BANNER INAYOSEMA "WRONG ONE. MOYES OUT.
mashabiki wa MAN UTD wanapanga kukodisha ndege itakayokuwa inapita juu ya OLD TRAFFORD siku ya jumamosi timu ikiwa inacheza na ASTON VILLA. ndege hio itakuwa na BANNER INAYOSEMA "WRONG ONE. MOYES OUT.
Habari njema.