Scouts wa Ole walileta ripoti kwamba Antony thamani yake ni 25M.
Kisha wakapeleka taarifa kwa wakala wake kwamba hawatolipa zaidi ya 60M.
Akaja Erik Kichwa ngumu. Akafosi kikosi kiongezwe na anamtaka Antony, hiyo ni kuelekea dirisha kufungwa.
Wakatoa 95M (Guaranteed) na 5M (add ons)
Erik alisema asingekubali kazi ya Unyumbuni kama asingeachiwa kucontrol usajili. Nasikia analalamika Amrabat haendani na mfumo.
Hebu tafuta usajili wa Erik ambao umeleta matunda