ETH anaendeleza utapeli ndani ya manjesta
Arsenal fans watakuwa wanamkumbuka kijana wetu wakiholanzi Donyell Malen ,alikulia pale Arsenal alikuwa na kipaji kikubwa ,akarubunika na madalali kina marehemu Raiola na mwenzake Pinenta akasaini asimamiwe nao ,akaambiwa asiongeze mkataba Arsenal, wakampeleka PSV ya uholanzi, akafanya vzr Sana, wakataka kumuuza Tena Arsenal kwa £50m , Arsenal wakagoma ,
Mwisho wakamuuza BVB ,kwa €30m , amekuwa na kiwango cha kawaida Sana
Wiki iliyopita kakutana na kampuni lile lile la utapeli la ERIK 7 HAG ,linaitwa SEG ndilo lilitumika kuwaleta kina Weghorst,Hojlund , amrabat,Malacia,Anthony ,
Donyell Malen kajiunga na Hilo kampuni ,na Sasa Kuna mazungumzo aende manjesta kwa £25m au wafanye Swap deal na Jodan Sancho
Tayari SEG wanapambana kuhakikisha manjesta inatapeliwa Tena na ETH anapata mgao wake
Kampuni la SEG Ni linasimamiwa na mtoto wa ETH, pia linamsimamia ETH ,na wachezaji unaowaona wengi wanakuja manjesta kupitia ETH
View attachment 2836411