Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anakuambia "Era has come to an end"
 
Mvunjieni mkataba mpeni chake

Kocha ataekuja na falsafa zake wachezaji wafuatao hawahitaji; Antony, Onana, hojlund, mount,
Option itakua ni kuuza kwa hasara

Mtaenda sokoni Tena kununua wachezaji kwa bei ya kupigwa

Miezi 6 mbele mtagundua baba ubaya ten hag na huyu mliemleta tofauti yao ni vichwa tu
.

Mateso yanazunguka katika duara hilo
 
Huyu si ndo alisema:

"We want to be the best transitional team in the world"

Inakuaje tena anachanganya madesa?
 
Miezi minne nyuma baada ya kununua mashambuliaji, wanalazimika kurudi sokoni tena kumtafuta mashambuliaji
Nawazungumzia nyumbu, vichaa fc

Miezi 6 mbele watalazimika kurudi sokoni kutafuta kipa, kwasababu kipa wa Sasa alienunuliwa miezi sita nyuma wamegundua sio kipa ni Pazia

Kuna Antony, mount,
hamis77 alishaongea Sana Tena kwa facts

Sancho yeye ndio kaamua kuizila/kuisusia hii team
 
Umeshafungwa mechi 10 hata msimu haujafika, bado unaenda na line up hiyo hiyo kwa plan hiyo hiyo.
What a twat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…