Mkuu hii game ya kesho ni ngumu sana maana hawa jamaa wkend iliyopita walichezea kichapo na pili wapo kwenye kiwango kizuri sasa hivi, hatutegemea hata kidogo mteremko hiyo kesho.Ila kushinda ni lazima.
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.
Lol...!
BTW: So far so gud, it is btn us na Ze Blues as i said prior, Ze Gunaz wasindikzaji tu, naona this season hawangoji hadi Feb/March waaanze ku-tumble, mapemaaa wameanza 'kuachia'.
ukiwa unaangalia game ya manu na wamefungwa huwezi kuondoka maana yake hujui watarudisha saa ngapi, lakini ukiwa unaangalia chelsea, liverpool or assho.. wakifungwa na ni dakika ya 80 unaweza kuondoka maana yake hawawezi kurudisha