Lol! Mbona nilikuwa natazama mechi huku tunaongea jamani, kwani hukuwa unasikia sauti ya matangazo ya mpira b...?B... Haya mambo mbona husemi jamani? Kumbe mlinyanyaswa ukajidai uko busy kumbe unaugulia maumivu?
Bahati yako nilipitwa...
Lile gari lililowaka ndio hili ulilotamba last weekend? Wenzenu tunachakaza watu 6-0 na wala hatusemi. Lols
Mdakuzi
Antony rashidi unawaachaje kwa kifupi wafukuze tm nzima[emoji16][emoji16][emoji23]Ili mpate timu ya uhakika fukuzeni wafuatao
Bruno
Casemiro
Garnacho
Shaw
Varane
Onana
Wanbissaka
Dalot
Hao wote hawana hadhi ya kucheza unyumbuni. Mkija nao Anfield tusilaumiane
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Antony rashidi unawaachaje kwa kifupi wafukuze tm nzima[emoji16][emoji16][emoji23]
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Your voice carried me away b... I couldn't notice that!Lol! Mbona nilikuwa natazama mechi huku tunaongea jamani, kwani hukuwa unasikia sauti ya matangazo ya mpira b...?
Ova
Eti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]Leo uezi waona washabiki wakimsifia kobe maunoo na garimacho wametulia2 wamekua wasoma comment juzi mmepiga bom mochwari mmesambaza picha zenu kila maali iweje leo sioni status zenu za magoli.
NB; morinho aliwaambiaView attachment 2829357
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Umesahau na Erik 7 hagIli mpate timu ya uhakika fukuzeni wafuatao
Bruno
Casemiro
Garnacho
Shaw
Varane
Onana
Wanbissaka
Dalot
Antony
Antony
Hao wote hawana hadhi ya kucheza unyumbuni. Mkija nao Anfield tusilaumiane
Ii wikiend cjakaa kwa aman na ayo majina mawili ila leo tuli [emoji16] ni ziyech mmoja alieipiga tz na nyumbu. " welcome to hell[emoji874]" waliongoza 2 wakahoji kuzimu gani uku kuna taa dakika ya 90 giza tupu wanaonaEti Kobe mauno na Garimacho[emoji1787][emoji1787]
Unafanya napaliwa had chakula
Hawa jamaa hawataki kukubali hawana kocha ,kashinda mechi 3 sijui 4 Lakini Sasa Ni papatupapatu,Ii wikiend cjakaa kwa aman na ayo majina mawili ila leo tuli [emoji16] ni ziyech mmoja alieipiga tz na nyumbu. " welcome to hell[emoji874]" waliongoza 2 wakahoji kuzimu gani uku kuna taa dakika ya 90 giza tupu wanaona
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Operation ni kuifilisi Manchester UnitedTupe neno Mkuu unavyoona hii ni operation Gani[emoji1]
B... this is a normal part of football life. Let us form a team to reclaim our place... Good thing you all know we don't deserve to end up on the group stage.Your voice carried me away b... I couldn't notice that!
Heeeey usinitoe kwenye reli bwana, unaonaje kuishia makundi? Lols
Bayern hawana Jambo dogo, wenyewe mpaka Mechi zile za Cup la Kule Bundesliga, ambalo watu wanapangaga Kikosi cha pili ila wenyew wanawekaga First Eleven yoteBayern ile ya kina muller ambayo hata game isiyo na maana wanataka washinde, ndo man u apite?
Acha maneno yako mengi b… hakuna anayestahili kuishia makundi ila wasio bora pekee.B... this is a normal part of football life. Let us form a team to reclaim our place... Good thing you all know we don't deserve to end up on the group stage.
Ova
We ni Shabiki wa Timu gan mkuu ?Acha maneno yako mengi b… hakuna anayestahili kuishia makundi ila wasio bora pekee.
Wenzenu tunawaza knock out stage saa hizi! Kuimba kupokezana…
Ila pole b…
Ni Gunners huyo, hutu tumisimu twao tuwili ndivyo wanatusumbua navyo hapa.We ni Shabiki wa Timu gan mkuu ?
Arsenal nayo Timu basi, Arsenal ni Blackpool IliyochangamkaNi Gunners huyo, hutu tumisimu twao tuwili ndivyo wanatusumbua navyo hapa.
Ova