Nyie hata point muwe sawa na wale nafasi za juu ,kwa mpira wenu wa janja janja mtapotea
Mmeshinda mechi 3 ,against mid teams halafu zimewasumbua Sana, kama luton
Magoli ya dakika za mwisho
Trafford imekuwa sehemu ambayo hata wakija Burnley wanasumbua....wale Brentford mkienda kwao watawatoa ngeu...mfano mzuri leo utaona Everton watakavyodai chenjiMid teams kama brentford ulivocheza nae jana
GGMUTukavune point 3 pale Goodison park
Manoo mtu kazi kalud.. tuombe injury isiwe imemmalizakikosi Cha watu wazima kinashuka vijana wa bwanyenye glazer barobaro boys wanashuka kutoa burudani kabambe leo.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Everton 0 vs Manchester United 2View attachment 2825847
Shaw nae kaanzaGood news Kobbie yumo kikosini
Samahani mkuu,hivi huyo Martial kwa timu za hapo Dar anaweza kupata hata Namba?Anthony Martial kaanza nae huwa ana rekodi nzuri ya kuwafunga Everton
Leo Everton watacheza kama timu inayogombania kutoshuka daraja..
Arsenal jana mmeshinda goli ngapi dakika za mwanzoni?Nyie hata point muwe sawa na wale nafasi za juu ,kwa mpira wenu wa janja janja mtapotea
Mmeshinda mechi 3 ,against mid teams halafu zimewasumbua Sana, kama luton
Magoli ya dakika za mwisho
Mkuu acha kuongea huu uozo.Anthony Martial kaanza nae huwa ana rekodi nzuri ya kuwafunga Everton
Hawezi, natamani United tubadilishane na Thimba. Watupe Kibu tuwape Masho.Samahani mkuu,hivi huyo Martial kwa timu za hapo Dar anaweza kupata hata Namba?
Bora ukutane na City lakini sio Everton iliyopo relegation zone.Sio shida zetu sisi tumekuja kuchukua point tatu muhimu chini ya maelekezo ya shirikisho la soka uingereza kwa maana hawa ni matapeli