Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na ubovu wa timu ila pia FA kwa makusudi kabisa ameamua kutuhujumu ili kushinikiza Vilaza wauze timu, offside ya mchongo Hio.
Mkitak wauze team kwa mwarabu wakuu kubalini na leo mfungwe na msimu huu mnusulike kushuka daraja muwe hata wa 14 au 15 hapo lzm kitawaka.
 
Haya yote niliyaongea Sana last season,watu wakaniona hater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…