Vinasaba anachoongelea hapo ni style yetu ya uchezaji ambayo tumezoea ambayo ni direct football..Naomba kuuliza hii DNA anamaanisha nini?
Sasa mkuu hili jambo mbna kama ni hivi utakua ni udunduka kuhangaika na mfumo hauna maana kwetuVinasaba anachoongelea hapo ni style yetu ya uchezaji ambayo tumezoea ambayo ni direct football..
Haya maoni ya mdau sio mimiGLAZERS FAMILY wanatoa pesa msajili 'WATU' ila nyie mnasajili akina 'KIKONGWE CASEMIRO' ambae kashajichokea vya kutosha
REAL MADRID sio wajinga, ukiwa mtu pale hutoki. Waliona wajingajinga wakuwala mamilion wapo, wakataka 73M nanyi mkatoa kununua mchezaji ambaye muda mwingi anatumikia either gerezani (RED CARD) au wodini (INJURY)
Haya sasa CASEMIRO OUT WIKI 7 ATAKUWA NJE
CASEMIRO kaumia na atakuwa nje hata kule Denmark mnangojewa kwa ham na vi'COPENHAGEN vitawagonga vibaya mno mpaka mtakoma na hivi mido enu ina mapeng
REAL MADRID waliona kabisa huyu kaisha tuuzie 'WANAOJICHANGANYAGA' sokoni ambao wapo radhi kutoa mamilion kununua magharasa akina MAGUIRE, LISANDRO MARTINEZ, MALACIA, MARTIAL, SANCHO, HOJLUND, ANTONY na mwisho wa siku kumlaumu mmiliki eti 'OUT'
Hivi kama GLAZERS FAMILY hawafai, ARSENAL wasemaje?
Maana ukiangalia ARSENAL bajeti yao ni ndogo sana tofauti na MANCHESTER UNITED lkn uwanjan ishakuwa ni kama maji na mafuta
MANCHESTER UNITED tabu iko palepale, mkikaza kwa FULHAM mnamaliza nguvu za kumzuia COPENHAGEN na kipigo cha kwenye UEFA kitawafanya mburuze mkia hahahahahaaaa
CASEMIRO, PARTEY, NKUNKU, JESUS ni bora uwe na akina MUDRYK, NKETIAH, ELANGA wanaotumia muda mwingi uwanjan na sio wodini
Ndugu NYUMBU, mnapigwa na FULHAM kisha mnaenda kugongwa na COPENHAGEN halafu mumlaumu GLAZER anayetoa mamilion ambayo mnanunulia vikongwe na majeruhi
Maoni yako ni yapi😃😃😃Haya maoni ya mdau sio mimi
Tunalud tatizo la man U ni kubwa... team inajua mpira wake ni direct football kwann ilete kocha ambae ni possession based..Sasa mkuu hili jambo mbna kama ni hivi utakua ni udunduka kuhangaika na mfumo hauna maana kwetu
DNA watu tunakufa kila siku
Uko kukazana na DNA
Sawaa sawaa na Chelsea lazima mshike nafasi ya pili pale😃😃😃Manjestaa nawakubali sana musimu huu lazima muwe mabingwa 😤😤😤😤
Sasa mkuuTunalud tatizo la man U ni kubwa... team inajua mpira wake ni direct football kwann ilete kocha ambae ni possession based..
Sawa huyo aliyekuja ni possession based ila sajili za direct football 😃😃😃
Sasa mkuu
Sajili kama antony utasema ni direct player?
Je mount?
Je sancho?
Casemiro ndio
Rashford ndio
Eriksen je?
Hivi maguire na scott wangeuzwa tangu enzi hizo si tungeshapata hata mkwanja wa watu wengine sahv pengine huu utumbo tusingekua tunauona ila sawa
Game ya baadae siangalii kama nayaona matokeo
GLAZERS FAMILY wanatoa pesa msajili 'WATU' ila nyie mnasajili akina 'KIKONGWE CASEMIRO' ambae kashajichokea vya kutosha
REAL MADRID sio wajinga, ukiwa mtu pale hutoki. Waliona wajingajinga wakuwala mamilion wapo, wakataka 73M nanyi mkatoa kununua mchezaji ambaye muda mwingi anatumikia either gerezani (RED CARD) au wodini (INJURY)
Haya sasa CASEMIRO OUT WIKI 7 ATAKUWA NJE
CASEMIRO kaumia na atakuwa nje hata kule Denmark mnangojewa kwa ham na vi'COPENHAGEN vitawagonga vibaya mno mpaka mtakoma na hivi mido enu ina mapeng
REAL MADRID waliona kabisa huyu kaisha tuuzie 'WANAOJICHANGANYAGA' sokoni ambao wapo radhi kutoa mamilion kununua magharasa akina MAGUIRE, LISANDRO MARTINEZ, MALACIA, MARTIAL, SANCHO, HOJLUND, ANTONY na mwisho wa siku kumlaumu mmiliki eti 'OUT'
Hivi kama GLAZERS FAMILY hawafai, ARSENAL wasemaje?
Maana ukiangalia ARSENAL bajeti yao ni ndogo sana tofauti na MANCHESTER UNITED lkn uwanjan ishakuwa ni kama maji na mafuta
MANCHESTER UNITED tabu iko palepale, mkikaza kwa FULHAM mnamaliza nguvu za kumzuia COPENHAGEN na kipigo cha kwenye UEFA kitawafanya mburuze mkia hahahahahaaaa
CASEMIRO, PARTEY, NKUNKU, JESUS ni bora uwe na akina MUDRYK, NKETIAH, ELANGA wanaotumia muda mwingi uwanjan na sio wodini
Ndugu NYUMBU, mnapigwa na FULHAM kisha mnaenda kugongwa na COPENHAGEN halafu mumlaumu GLAZER anayetoa mamilion ambayo mnanunulia vikongwe na majeruhi
Fulham anakutandika mapema sanaSisi Manchester united halisi kesho ndo tunaanza ligi rasmi sasa.
Ni Nini Cha Kawaida Kati Yao? Walizungumza Ukweli kuhusu Manchester United na walikosolewa...
Louis van Gaal: "Man Utd ni klabu ya kibiashara, tofauti kabisa na Bayern. Kwa Bayern soka ni kitu muhimu zaidi, si pesa, kama ilivyo United."
Louis van Gaal : "Katika Bayern, watu wanaosimamia soka ni wanaume. Nilifurahia hilo kila mara. Kwa upande mwingine, huko Manchester United, ed Woodward alitawazwa kama mkurugenzi mkuu - mtu asiyeelewa kabisa soka ambaye hapo awali alikuwa benki ya uwekezaji. ."
Alexis Sanchez : "Baada ya kikao cha kwanza nilirudi nyumbani - nilimwambia wakala wangu 'huwezi kuvunja mkataba ili kurejea arsenal?' Wakati mwingine kuna mambo ambayo hutambui mpk najiuliza nilifika vipi man utd, na nakumbuka kipindi cha kwanza cha mafunzo nilichokuwa nacho, niligundua mambo mengi."
Zlatan ibrahimovic : "Kila mtu anaifikiria Man utd kama klabu ya juu, mojawapo ya matajiri na yenye nguvu zaidi duniani na nikionekana kutoka nje ilionekana hivyo kwangu. Lakini mara nilipokuwa huko nilipata mawazo madogo, yaliyofungwa. "
Jose Mourinho : "Mojawapo ya kazi nzuri zaidi ya maisha yangu ilikuwa kumaliza rasmi nafasi ya pili nikiwa na man united katika ligi kuu. Ninaendelea kusema hivi kwa sababu watu hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia."
Cristiano Ronaldo : "Manchester Utd haikupiga hatua. Real Madrid na Juventus zilifuata teknolojia ya hivi majuzi, miundombinu. Kila mara walijaribu kusonga mbele hata katika masuala ya mazoezi, lishe na jinsi ya kupata nafuu kutokana na michezo. Man United iko nyuma ya klabu kama hizo."
Cristiano Ronaldo : "Naitakia klabu bora, mashabiki wanastahili ukweli. Una mambo ndani ya klabu ambayo hayasaidii Man Utd kufikia kiwango cha juu kama Man City, Liverpool na hata sasa Arsenal."
MAWAZO?View attachment 2802875
Sio kwa Man Yu ya leo. Kwanza wachezaji wapo motivated than ever. Leo ligi inaanza rasmi. Man Yu halisi hapa.Fulham anakutandika mapema sana
Sawa MkuuSio kwa Man Yu ya leo. Kwanza wachezaji wapo motivated than ever. Leo ligi inaanza rasmi. Man Yu halisi hapa.