Manchester United (Red Devils) | Special Thread

chambua mshabiki wa man wa mbele unaejua kupiga danadana
 
Ubaya wa kushabikia hii timu

Siku ya mechi unajipa matumain labda leo tutafanya kitu

Unajitutumua unaenda kuangalia mechi

As usual wachezaji kama hawajatoka training yan wanaruka ruka tuu. Mnafungwa

Unasema siendi tena kuangalia mechi za ManU

Lakin siku ya mechi tena ikifika upo tena kuangalia

This cycle never end😃😃😃

Nimejifunza kwamba wengi bado tunaamini kuwa tutarudi kuwa bora

Ila kama wengi walivyosema tutafukuza makocha wengi ila tatizo ni Management

Mtakuja na blabla kwamba wanatoa hela ila kumbuka Mourinho na Ole Gunner sio wajinga kusema shida ya United sio kocha bali ni management
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…