Hii penati kwa kweli duuuh! ni kweli kashikwa ila jinsi alivyoanguka duu! Pamoja na kuwa timu yetu sio nzuri akichezesha Tylaor au Michael Oliver gemu yetu kutoboa huwa ni ngumu sana sijui ni maono yangu au wote tunaona hivyo.

Asante kwa correction nilichanganya jina huyu refa huwa wa hovyo sana maamuzi yake huwa ni kama yakubahatisha bahatisha hivi ni kama hajiamini anapuliza philimbi kutwa hadi anapoteza ladha ya mchezo.
Kichwa alichopiga Haaland akaokoa Onana alikipiga kama yupo mazoezini. Timu yetu bado inatakiwa kufanya uwekezaji kwa kununua wachezaji sahihi, nilikuwa nafikiri tuna wachezaji wazuri wengi lakini sikuwa sahihi.