D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
12:30 jioniMtanange unaanza saa ngapi ndugu zanguni?
Manchester United huwa kama wachawi mechi ambayo wengi huomba wapigwe ndo huwa wanashinda sasa au Sare
Leo haters tusimalize sana Maneno wanaweza kutushangaza mashetani hawa
MAN U USHINDI WETU LEO
Nimewabetia
Man U 3
Mama cita 0
Hii pesa utaangalia mpira unasweat makalioni ....maana Hawa nyumbu mpira tutakao wawashia kudadekiii labda magoli ya offside yawasaidieTumewaamini jamaniView attachment 2796912