999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 916
- 1,696
Tutapigwa kama ngomaWe are the famous fucking red devils. Leo mbinu ni ileile hakuna mabadiliko, tunakaa nyuma tunaziba space vizuri, tukipata mali inapigwa kwa Bruno, Bruno anapiga ndefu kwa Rashford... Kamba. Au tunapiga ndefu Moja Kwa Moja kumtafuta Hojlund ... Kamba
Leo nawashangiliaLeo tuombee bana, uache masimango
Martin Odegaard specifically suffering with pain in his hip.
Huyo haumii ana maumivu tu kacheza mechi nyingiAkiumia huyo mmeisha
Kupitia hii picha kibonde kimeshaonekana upande fulani.View attachment 2796606
Manyumbu derby head 2 head[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi haaminikiTumewaamini jamaniView attachment 2796912
Kuna account naiona twitter, kuanzia uandishi, content hadi ushabiki inafanana na account hii.Manchester United huwa kama wachawi mechi ambayo wengi huomba wapigwe ndo huwa wanashinda sasa au Sare
Leo haters tusimalize sana Maneno wanaweza kutushangaza mashetani hawa [emoji23]
12:30 jioniMtanange unaanza saa ngapi ndugu zanguni?