Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Peter 𝐒𝐜𝐡𝐦𝐞𝐢𝐜𝐡𝐞𝐥 reacts to 𝐀𝐧𝐝𝐫𝐞 𝐎𝐧𝐚𝐧𝐚's last minute penalty save


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
Your browser is not able to display this video.
 
𝐅𝐚𝐜𝐮𝐧𝐝𝐨𝐨 𝐏𝐞𝐥𝐥𝐢𝐬𝐭𝐫𝐢:

“Manchester is all about United. You don't see 𝐂𝐢𝐭𝐲 𝐬𝐡𝐢𝐫𝐭𝐬 or 𝐟𝐥𝐚𝐠𝐬. Sometimes, with my girlfriend, we go out and say 𝐥𝐞𝐭'𝐬 𝐭𝐫𝐲 𝐭𝐨 𝐟𝐢𝐧𝐝 𝐨𝐧𝐞 𝐚𝐧𝐝 𝐰𝐞 𝐝𝐨𝐧'𝐭 𝐬𝐞𝐞 𝐭𝐡𝐞𝐦.”


[MartinCharquero]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
𝐅𝐚𝐜𝐮𝐧𝐝𝐨 𝐏𝐞𝐥𝐥𝐢𝐬𝐭𝐫𝐢 on his sporting icon: "It's difficult this one. I'd say the three players I admire most are [Lionel] 𝐌𝐞𝐬𝐬𝐢, [Cristiano] 𝐑𝐨𝐧𝐚𝐥𝐝𝐨 and 𝐍𝐞𝐲𝐦𝐚𝐫. They are the three attackers that I really enjoy watching."


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
7hag anafundisha brand gan ya football?

Nikisema huyu kocha Ni average nitakuwa nakosea?

Hapa chini Ni mechi tofauti Lakini uchezaji Ni ule ule

Je Nani walimpa Cheti Cha ukocha?View attachment 2793270View attachment 2793271
Mwingine anaweza kusema anatumia mbinu hiyo ili kubypass press ya wapinzani wao kwenye msitari wake wa pili wa ulinzi.

Unapochukua content za watu uwe unatoa credit na una copy kama zilivyo siyo kuchagua zinazokufurahisha wewe tu.
 
Hiyo hadithi inanikumbusha mbali sana ,enzi hizo kitaani kipindi tunasimuliwa ilikuwa naisikiliza kwa makini mno.
 
Tulianza siku moja kushabikia manchester united.

Ilikuwa majira ya jioni, dwight yorke anafunga hatrick.

nilikuwa na miaka 7

Maajabu.
Yeah ilikuwa mechi ya maana sana nadhani nilikuwa na miaka 15. kuanzia siku hiyo Man united ni kama chakula changu cha uzima.
 
Bila ya hawa jamaa nisingekuwa mshabiki wa manchester united mwaka huo 1999 rasmi nikawa mshabiki wa manchester united


View attachment 2794305
View attachment 2794306
Sina kumbukumbu vizuri ni mwaka gani lakini ni mwanzoni mwa kati ya 2002-2003 kama sijakosea. Ni mechi ambayo Man U alishalala ila dakika za nyongeza na zikisalia sekunde Beckam anatengewe mpira wa adhabu karibu na lango la wapinzani. Kabla ya kupiga ule mpira anawahamasisha mashabiki kushangilia,anapiga ile free kick chuma inaitika wavuni. Nikasema hapa sasa ngoja niweke kambi😀😀😀
 
Mechi unayoongelea itakuwa ni ile ya 1998 vs Leicester City ndiyo alifunga goli dk ya 90. Mpaka dk ya 76 United walikuwa wamefungwa 2-0. Dk ya 79 Teddy Sheringham akaugusa mpira wa Beckham (deflection) likawa goli, Becks akitoa assist.

Dk ya 90 ndiyo Becks akawainua tena mashabiki kwa kwenda kambani kwa freekick ya hatari. Mechi nyingine aliyowahi kuinusuru United kutoka kwenye dhahama ya kipigo ni ya Blackburn Rovers (wagumu) hiyo ndiyo ilikuwa kwenye miaka ya 2000 lakini ilikuwa siyo kwenye injury time.

Beckham ametushawishi wengi kuishabikia United. Miaka ya 2000 nilikuwa na T-shirt moja ya Beckham ina picha yake. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…