Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nini maana ya mchambuzi?? Tuanzie hapo

Kisha na wewe cha-goat uje utuchambulie arsenal wanatumia mfumo gani na style gani of playing, miaka 100+ hakuna UCL.
 
Wachambuzi nguli kwa mujibu wa syllabus ya FIFA tunapochambua timu ,tunaanzia kwenye Buildup tunakuja phase 2 na phase 3

Lakini Wachambuzi nguli wanadai kuichambua manjesta ya 7hag imekuwa kazi ngumu Bora kubeba Zege ,

Haijulikani inacheza muundo gani Wala stail gani

Pep aliulizwa anaionaje manjesta, akaishia kuangua kicheko maana haichambuliki


Against promoted teams inacheza butua butua

Swali tunalojiuliza Wachambuzi nguli duniani,

Je against top 6 , manjesta itaokota hata point 1?

Je against kina Astonvilla, Westham,Fulham , Brighton ,itaokota points hata 1?


Huyu 7hag mliona Nini mpaka akapata kazi hapo manjesta?


Sir Jim inasemekana amaechoka na pira makande ,anataka akipewa timu amlete Graham Potter


Niliwahi kusema humu

Graham Potter
Ole Gunar
Frank lampard
David Moyes
Zuberi katwila
Malale hamsini
Juma Mgunda


Wana uwezo mkubwa kuliko Erik 7hag
 
Mwaka huu mkimaliza ndan ya top 7 , nitaamini uchawi upo ulaya na unafanya kazi

HUWEZI maliza top 7 ikiwa ukikutana na Burney , Sheffield ,Luton, una struggle ku control mechi


It's means against Astonvilla, Newcastle, Brighton, Westham , palace ,hutaweza kupata matokeo

Against top 6 hutaweza kupata matokeo
 
Sir Jim ana uelewa mkubwa Sana wa Soka

Anasema anamtaka Potter


Niliwahi sema humu 7hag anazidiwa uwezo Hadi na Juma Mgunda

Ni vile Mgunda Hana exposure ya ulaya


Ukimpa Mgunda manjesta boli litatembea
 
Operation kataa

pira magimbi

Pira makande

Pira butua butua

Pira janjajanja
 
With all respect mchambuzi mwenye beji ya FIFA tunakuhitaji mara moja jukwaa la Chelsea.
 
Rasmus Hร˜JLUND in the Premier league
6 games
0 goals
0 assists
 
[emoji1]
 
Nimeamini kila kazi ina changamoto ,nilijua kwenye uchambuzi Kuna Raha ,kumbe Kuna ugumu

Kwasasa wachambuzi duniani tunakutana na changamoto ya kuichambua manjesta

Unapewa kipind kwenye redio au TV unaambiwa ichambue manjesta ,Ni mtihani ambao unatunyima makokoto


7hag anatunyima ugali wachambuzi
 
Hivi hamuoni Pochetino anavyoweka playing style kwa wale watoto?

Huyu 7hag nataka nijue mlimtoa wapi ,na Nani alipitisha jina lake afundishe manjesta?

Nani walimfanyia interview ?

Haiwezekani na haikubaliki against promoted teams ,timu inabutua butua na kusubiri magoli ya miujiza
 
Manchester United will hold a minute silence for Sir Bobby Charlton prior to todayโ€™s press conference that Erik ten Hag and Diogo Dalot will be attending.


[samuel luckhurst]
#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji599][emoji599][emoji981]| ๐‘๐ฎ๐ฎ๐ ๐†๐ฎ๐ฅ๐ฅ๐ข๐ญ on Rasmus ๐‡๐จ๐ฃ๐ฅ๐ฎ๐ง๐:

"They're not really looking for him. And he's in areas where you can see him. There are too many players who want to score on their own, who cut into the middle. The scorers need to score goals. If he's happy in the team, it makes a huge difference to the others."

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji599][emoji860] ๐…๐š๐›๐ซ๐ข๐ณ๐ข๐จ๐‘๐จ๐ฆ๐š๐ง๐จ: โ€œThose close to Jadon Sancho believe he has his own reasons for not apologising to Erik ten Hag. Heโ€™s not crazy and has his own reasons.โ€


[GiveMeSport]
#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ