7hag anaenda kutimuliwa soon ,Sir Jim ni mtu wa soka ,atamvumilia kidogoSasa ile kauli ya kocha la makocha, Eric Ten Hag kwamba ERAS COME TO AN END" ndo inaenda kutekelezeka rasmi.
Hii ni baada ya Sir Jim Ratcliffe kuweka wazi mipango yake ya muda mfupi na mrefu klabuni humu, Manchester United.
Acha bhangi sawa sababu ukifatilia tokea mwanzo utajua Glazer's hawakua na mpango wa kuuza hii club, na hata media zote wamekili Hilo na sheikh Jasmin ndio alikua mtu wa muhimu kuifufua hii club.Ukimsikiliza Sheikh Jasim unagundua Ni mtu wa Propaganda anasema angeichukua manjesta angemleta Mbappe ,Jude Bellingham ,Na Vini Jr.
Hii Ni propaganda
Jude na Vini Jr wana release clause ya โฌ1B
Mbappe hagusiki
Ni dhahiri huyu muarabu Ni mtu wa Propaganda
Timu apewe Sir Jim
Sheikh Ni mtu wa Propaganda tuA
Acha bhangi sawa sababu ukifatilia tokea mwanzo utajua Glazer's hawakua na mpango wa kuuza hii club, na hata media zote wamekili Hilo na sheikh Jasmin ndio alikua mtu wa muhimu kuifufua hii club.