Huyu hana lolote ,tapeli mmoja tu ,si ndio huyu alitaka kununua share za Chelsea pia kipindi kile timu imewekwa kwenye mnada ?BREAKINGSir Jim Ratcliffe to BUY 25% stake in Man United after Sheikh Jassim withdraws offer to buy club
View attachment 2782225
Sir JimHuyu hana lolote ,tapeli mmoja tu ,si ndio huyu alitaka kununua share za Chelsea pia kipindi kile timu imewekwa kwenye mnada ?
I think fatilia mipango ya Sir Jim kabla hujamuhukumuNaona iko imethibitishwa ni mateso ya muda mrefu.
I think fatilia mipango ya Sir Jim kabla hujamuhukumu
Yani sir Jim Katoa paundi bilion 1.3 Kwa Kununua asilimia 25 ya hisa.
Halafu mtu anataka kutoa Dola bilion 8 huku akiahidi kufuta deni la Dola milion 500 , kujenga uwanja na facilities zote ila kabaniwa.
Hii team ni ya kipumbavu saaaana.
RIP Manchester united (1898-2023)
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Daaah hatari kkmkPia usisahau hiyo ni hatua ya mwanzo tu kuelekea Timu kuuziwa yeye yote.
Yani jiandaeni kisaikolojia Timu kujazwa Wachezaji wabovu wa Kiengereza.
I think fatilia mipango ya Sir Jim kabla hujamuhukumu
Kwa Nini? Na Kwa Nini siyo Jasim?I speak for all united fans ,Sir Jim is the right man for this club
Ndio mpango unaokuja huo chini ya DOF Paul Mitchell.Muengereza na Mmarekani hajawahi kuwa na mipango ya kula hasara.
Waombe tu asije akabeba sera za Tajiri wa Liverpool za Sell to Buy.
Hili la training facilities ndio linaniuma sana hasa baada ya kinda wetu tuliyemuuza Charlie Savage last week kusema kwamba training facilities za Reading ni bora kuliko za United.Ni sheikh pekee alikua na good intentions na hii klabu basi yan mtu Katoa £5B na ahadi ya kulipa deni lote la nyumbu, kurekebisha uwanja na training facilities etc
Asitujazie wachezaji wa Kiingereza katika mipango yake hiyo.I think fatilia mipango ya Sir Jim kabla hujamuhukumu
Kweli kabisa Mkuu ni mambo ya kisenge sana nayanaumiza mno,mpaka unajiuliza Kuna Faida gan! Ya kupeteza mda wako kufatilia hii club ya kipumbavu.Yani sir Jim Katoa paundi bilion 1.3 Kwa Kununua asilimia 25 ya hisa.
Halafu mtu anataka kutoa Dola bilion 8 huku akiahidi kufuta deni la Dola milion 500 , kujenga uwanja na facilities zote ila kabaniwa.
Hii team ni ya kipumbavu saaaana.
RIP Manchester united (1898-2023)
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Hana mpango wowote yule Mzee, umeona sheikh alichoweka mezani kwa ajili ya facilities na usajili?I think fatilia mipango ya Sir Jim kabla hujamuhukumu