Nasikitika Sana maana 7hag anaenda kuliwa kichwa
Napenda abaki awapeleke nafasi za 12-15 huko
Huyu kocha nilimkataa toka mwaka Jana ,ule ushindi wa papatupapatu nilikuwa najua Ni wa muda mfupi tu ila kiuwezo hamfikii hata Ole gunar sosha
Ukitaka mfano mzuri kamuangalie yule kijana aliewika sana na Morocco, wanamuita Ounahi.. Sasa anacheza Marseille, ushawahi kumsikia tangu amalize kucheza kombe la dunia?Ni mchezaji wa kawaida ,wewe mchezaji ana miaka 27 kaonekana world cup mechi 3 , unampapalikia
Hee sasa hivi ndo kocha kawa muoga tena. Mlivyokua mkimsapoti alipomfukuza Ronaldo na kumvua unahodha Maguire?Kazi ipo kocha wetu ni muoga tu Hana lolotee mtu kama rashford sio wa kucheza kabisa ila anamuogopa, mtu kila mechi anacheza vibaya bado anauhakika wa kuanza.
Hata Onana ni mda apumzike kwanza hayupo sawa ila jamaa muoga sana kukuweka benchi hata carabao
Huna lolote kwendaaaaaaNadhani Sasa wale wanaonichukia watanielewa nilipokuwa namkubali pochetino pamoja na matokeo mabaya mwanzoni
Tatizo sio matokeo mabaya , Wachambuzi nguli tunaangalia vitu vingi tofauti na malayman wengi
Sisi tunaangalia
Je kocha anaweka playing style?
Kocha ana talent ID
Kocha ana uwezo wakwendana na modern football
Ukiangalia vigezo vyote hivo Pochetino anavyo
Pochetino kuanzia mwakani ataanza kugombea ubingwa
Anahitaji madirisha mawili tu aongeze kiungo mmoja na CF mmoja ,plus injury zirudi .
Kisa kaifunga Burnley? 😆😆😆 To do that anatumia kikosi cha sh ngapi?Nadhani Sasa wale wanaonichukia watanielewa nilipokuwa namkubali pochetino pamoja na matokeo mabaya mwanzoni
Tatizo sio matokeo mabaya , Wachambuzi nguli tunaangalia vitu vingi tofauti na malayman wengi
Sisi tunaangalia
Je kocha anaweka playing style?
Kocha ana talent ID
Kocha ana uwezo wakwendana na modern football
Ukiangalia vigezo vyote hivo Pochetino anavyo
Pochetino kuanzia mwakani ataanza kugombea ubingwa
Anahitaji madirisha mawili tu aongeze kiungo mmoja na CF mmoja ,plus injury zirudi .
Amrabat chura tuNamuheshimu Sana mkuu ,ukweli hamna kocha
Huyu hata akipewa ile Barca ya 2012 bado itacheza ujanjaujanja
Leo combination ya Casemiro na Amrabati bado mna dominatiwa Midfield
Siwez hiyo michezo ,ila huyo jamaa ananisumbuaUshaanza kufiira watu tayari? Dah
Hapana aisee, angalia hata playing style ipoKisa kaifunga Burnley?To do that anatumia kikosi cha sh ngapi?
Huna lolote wewe Aunt Hamis,maneno meeeeengi kumbe CHOKO tuSiwez hiyo michezo ,ila huyo jamaa ananisumbua
Umerudi ,ulikimbiaWhat a goall mama wewe Manchester United is back