Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Piers Morgan via 𝐗


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
BREAKING: Sheikh Jassim will complete his full takeover of #mufc in the next two weeks.


[The Sun]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Tukiacha mambo ya mbinu.
Mount
Amrabat
Rashford
Pellistri japo bado mdg
Malaria
Dalot
Lindelof
Varane
Na wengne wengi 80%
hawa jamaa hawawezi kazi, yaani ni dhaifu.
physicality iko chini wengine hawana kiwango kizuri.
ETH ni kocha mzuri lakini naona kama usajili anazingua, au uongozi haumpi wachezaji anaotaka.
Binafsi sijui alaumiwe nani, lakini uongozi ni dhaifu katika maamuzi yao
 
Wapo makocha wengi wanamzid uwezo, yule wa sporting Lisbon, Hans flick, Di Zerbi, Zidane, wapo wengi Sana Ni kutulia tu, Spurs wamempata wap Ange
Usiwavimbishe kichwa spurs , hamna timu pale , cha maana walichofanya ni kumuondoa Yule mpumbavu Kane selfish , na kumpiga bench Uchochoro Dier , hyo ndo changes inayoleta matokeo sasa , ufundi wa Kocha tutaungalia kuanzia Kati Kati ya msimu
 

 
Ikitokea mnabadili kocha hivi karibuni Basi mtarudi hatua 5 nyuma
mawili either mmalize msimu na 10hag au


Anthony
Ericksen
Casimiro
Onana
Martinez
Hojlund
Amrabat
Hao wote ni mapendekezo ya 10hag, akija kocha mwingine anaweza kukuambia Martinez na Anthony hawapo kwenye mipango yangu. U see

Man u inahitaji kujenga timu, trust the process
In the process of making a team there are ups and downs

10hag afukuzwe kazi pale msimu ukiisha, itakua Bora zaidi.
Swali, anatoka 10hag anakuja nani?

Chelsea wangebaki na Tomas tuchel na kikosi Chao hiki, Basi wangekua washindani kweli kweli kuliko huyo pochetino
Chelsea ina kila kitu, na bado January wanarudi sokoni

Nawauliza Tena akitoka 10hag aje Nani?
 
Hii club ina shida kubwa

Tutakua tunafurahi mechi moja, mechi tatu vilio
Embu glazer’s waondoke kwnza ndo tujue kama ni kwel pogba alifanya tambiko pale ana kuna namna
Hii club tushakua club ya kawaida sanaaaaa limebaki jina tu naona ndo club iliobaki tumekariri mambo ya zamani hatui evolve
 
Usiwavimbishe kichwa spurs , hamna timu pale , cha maana walichofanya ni kumuondoa Yule mpumbavu Kane selfish , na kumpiga bench Uchochoro Dier , hyo ndo changes inayoleta matokeo sasa , ufundi wa Kocha tutaungalia kuanzia Kati Kati ya msimu
Kane hakuwa uchochoro, huwez kusema Hakuna utofauti wa uchezaji wa Conte mabeki wa 5 , na uchezaji wa Ange ambaye anawatumia Bissouma na Sarr ambao Conte aliwakataa kwenye mfumo wake

Conte alikuwa anatembea na Hojberg na yule mu Uruguay .
 
Taratibu utafika tu utaelewa 7hag Ni tapeli

Kocha karuhusiwa had atumie kampuni lake la Udalali ili alete wachezaji anaowataka ,bado mnasema uongoz haumpi wachezaji anaowataka

Anthony€100m
Malacia €18m
Eriksen
Hojlund €85m
Amrabat loan
Mount €65m
Onana €55m
Weghost loan
Martinez €60m


Hizo Ni sajili zake mwenyewe

Casemiro €70m hii Ni sajili ya uongozi
 

Factor Moja wapo ya Timu kuwa na mafanikio ni kuwa na uongozi bora. Mpaka sasa tumesha badilisha sana makocha, na sitaki kuamini kuwa Mourinho na Ole walikuwa ni makocha wabovu mpaka kupelekea ku fungasha vilago.​

Cristiano:
"The owners of the club, the Glazers, they don't care about the club, professional sport"

Mfano newcastle hakuwahi kugusa top 10 tokea 2012/2013 mpk 2021/2022. Mmiliki mpya 2021 kachukua timu, Msimu ulioisha 2022/2023 Tunamuona yupo Top 5

Chelsea nao wameanza kula mbanga mapema baada ya Mmiliki wao Roman Abramovich kuuza timu. Kipindi chake chelsea ilikuwa ya motoo 🔥 2021 wakabeba na uefa.

Sina wasiwasi na wapiga kelele wa Arsenal. Wanaelewa vyema ni nini manager wao huwa anafanya mwishoni mwa msimu📌

Kila Manager ana mapungufu yake!​
 
Hamis acha kumlinganisha Rashford na vitu vya ajabu ajabu,huyo Rashford akicheza arsenal au city nani anaweza kumweka benchi ,team inacheza hovyo hovyo unataka afanye Nini ,team iki steap up kidogo Rashford LAZIMA afanye tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…