Ana uwezo mkubwa wakati anapigwa back-to-back. HAHAHAH!Nitajie kocha gan hajawahi fanyiwa humiliation
Yaan mnamfatilia Brighton mwenye kikos hakizid hata €30m ,wakati 7hag ameunda kikos Cha zaidi ya €400m
Hamuoni aibu
Brighton hana Cha kupoteza
Di Zerbi ameshathibitisha ana uwezo mkubwa kuliko hata 7hag
Kiungo pundaAmrabatt amezoea soka la kutumia nguvu kule serieA. Anatumia nguvu kubwa kuliko akili...
Kocha gan mkubwa unayemjua hajawahi kupigwa back to backAna uwezo mkubwa wakati anapigwa back-to-back. HAHAHAH!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Palace Leo Ni washinde au sare
Manjesta hamna uwezo wa kushinda Kenge nyie
Tungejua nafasi ya kushiriki UEFA msimu huu tungewachia tu hata Liverpool, yaani tunacheza utumbo mkubwa mno, Leo mwisho kuangalia game za Manchester United.