Leo tumepiga pira la kidachi "total football" huwezi kuelewa striker wala beki ni nani
watu wanatembea uwanja mzima.
Amrabat ana-bully tu kale katoto. Dalot na Pellistri wanatembeza visambusa tu.
Hii ndiyo maana ya team-play sasa wakiingia wale walevi wakina Rashford matusi yataanza.