Dstv chanel gani sioni dalili za kutazama mechi ya leo.Mechi ya leo itakuwa kali sana. Namuona Maguire akifanya vizuri leo.
223 SS Premier League.Dstv chanel gani sioni dalili za kutazama mechi ya leo.
Wewe ujui chochote lineup isikuchanganye hapo kocha kaingia na mfumo tofauti kabisa.Ndo amrabat kasajiliwa acheze fullback ya kushoto [emoji706]
Wewe ujui chochote lineup isikuchanganye hapo kocha kaingia na mfumo tofauti kabisa.
Wewe ujui chochote lineup isikuchanganye hapo kocha kaingia na mfumo tofauti kabisa.
Leo tupo kama prime BarcaLeo twacheza vizuri.
Mambo wasiyo yapenda kusikia humu wakina mc hamissLeo tumepiga pira la kidachi "total football" huwezi kuelewa striker wala beki ni nani [emoji3] watu wanatembea uwanja mzima.
Amrabat ana-bully tu kale katoto. Dalot na Pellistri wanatembeza visambusa tu.
Hii ndiyo maana ya team-play sasa wakiingia wale walevi wakina Rashford matusi yataanza.
Leo hataleta stats zake uchwara.Mambo wasiyo yapenda kusikia humu wakina mc hamiss