NiliandikaHabari nazopenda kusikia
| A group of #mufc's first-team players disagree with Erik ten Hag's decision to banish Jadon Sancho from the squad. [@talkSPORT]
Anavuna alicho kipanda, baada ya kupigwa 7 na Liverpool wale wachezaji wote waliocheza wasingeanza mechi iliyofuata then wauzwe wote kwenye TW, cha ajabu yeye aliwa praise na kuwaanzisha tena mechi iliyofuata hii inawapa confidence na kuona kama kupigwa 7 ni kawaida na kwamba kocha hawezi wafanya lolote.Niliandika
"10 hag asimame Kama baba kwenye hili, mtoto akinyea mkono hatuukati.."
10 hag hayupo kwenye position ya kuvimbiana na wachezaji
Mpaka Sasa nimethibitisha 7+3hag hata akipewa miaka mitano hawezi kubadili playing style sababu hawez kufundisha au kiufupi uwezo mdogoNiliandika
"10 hag asimame Kama baba kwenye hili, mtoto akinyea mkono hatuukati.."
10 hag hayupo kwenye position ya kuvimbiana na wachezaji
A Dutch Diego simeone
Kweli hapa nimekoseaUnamkosea Adabu diego simeone.
Aaaah barobaro boys vijana wa bwanyenye glazer tunashuka leo tena kutoa burudani kabambe Sana.
Manchester United is playing today and whole world is happy
My prediction
Burnley 1 vs Manchester United 3
4:00
Turf moor
Haters wataumia Sana leo
Kama unaona Burnley watashinda kawabetia mtaji wako wote sio kupiga kelele hapa.
Tutachapa
Tutauaa
Tutachinja
Ndo tunaanza sasa Wenger orphans na vibonde vingine mnaanza kutupisha hapo juu sio muda.
GGMUView attachment 2759177
Kwa kocha yupi huyo?FA watupe tu points zetu 3 tu-focus na mambo ya msingi. Burnley tutawafanya mfano kwa wengine wote watakaofuata.
Crying is over.FA watupe tu points zetu 3 tu-focus na mambo ya msingi. Burnley tutawafanya mfano kwa wengine wote watakaofuata.
Tunaweka tena kambi humu kuhakikisha na leo hampati usingizi
Kwa kocha huyu huyuFA watupe tu points zetu 3 tu-focus na mambo ya msingi. Burnley tutawafanya mfano kwa wengine wote watakaofuata.
Leo sare inawatosha Sana BurneyGGMU
Kwenye maisha ya mashabiki wa Manchester United hii tunaiita "Title Charge Phase" kwetu leo msimu ndiyo unaanza.Crying is over.
Kilio sasa basii
Erik ten Hag, kocha la boli. Hamtaamini tunachoenda kufanya mpaka mwisho wa msimu.Kwa kocha huyu huyu