Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo kwa mara ya kwanza nimeona umeshusha nondo za kweli big up sana mkorea.
 
Jamaa kashusha nondo za ukweli sana.
 
Ushabiki katika kuchangamshana tu
Sometimes ushabiki tunauweka pembeni, tunaongea uhalisia
 
Nawashangaa ,hawajui baryen ya Sasa Ni ovyo Sana ,juzi hapa wamekimbizwa na kina Xhaka ,

Narudia Tena baryen,Madrid sio Timu tishio kwasasa

Wanaoendelea kuamini katika majina waendelee

Madrid sio kila siku Jude atawaokoa dk za mwisho
Madrid wamedumazwa na Upuuzi wa Kumfatilia Mbappe kipindi chote cha usajili, Mpk usajili umefungwa na Sasa Wameingia kwenye msimu Bila Namba 9,

Aisee nawaonea huruma wakikutana na Timu kama Man city UEFA maan watatandikwa goli Si chini ya 3 kuanzia Home & Away
 
Bissaka,mount,varane,Shaw,malacia,amrabat,antony,kobbie maino,sancho sina
Wachezaji angalau wengi hapa wakirudi na waliopo na matokeo yakiwa hv basi ndo ntasema kocha mbovu
 
Ushabiki katika kuchangamshana tu
Sometimes ushabiki tunauweka pembeni, tunaongea uhalisia
Kabisa mkuu, Masingeli yeye anajiita mchambuzi lakini chambuzi zake zimejaa ushabiki mwanzo mwisho hataki kabisa kuzungumzia uhalisia wa mambo anakua hana tofatauti yoyote na kina Flano
Ethics za uchambuzi unatakiwa usiwe biased, hivyo vitu ndio vinamfanya Geoge Ambangile akubalike na mashabiki wa timu zote katika chambuzi zake sio kama kina Edo Kumwembe ambao kweli mpira wanaujua ila wameamua tu kwa makusudi kujifanya ni comedians.
 
Una sifa 100% yakuitwa mchambuzi hauna mihemko wala premature thoughs zaki rivalry ( ushabiki) kiufupi upo un biased itakufanya uwe mtu ndani ya watu na wengi watajifunza mengi toka kwako

Wengine tungechambua hii mechi ila its just kuna influence flani ya umanishaji tuko vibaya sana kuliko uhalisia

Man utd problems
1 injuries especially defense and midfield
2 improvement in goal keeping ( shot stooping)
3 unsettled dressing room ( ego from both players and coach)
4 poor management.. In some sancho & Antony case is
5 Delusional fans & stubborness of coach sometimes

#we trust ETH
 
DDG ni moja ya Best Shot Stopper Ever EPL, Best kwenye Positioning anaeza kuwa Petr Cech na Best in Commanding their Area nadhani Schmeichel na Seamen.
Madrid ilipata Pigo la Thibaut lakini Haikumwangalia DDG, Bayern haikuwa na kipa na Sommer aliondoka lakini haikuangaika na DDG Ikaenda Israel jiokotea.

DDG, UTD Mpka Bonus anakula ~400k Kwa wiki. Waarabu na Kuokota kwao wamempita kama hawamwoni na amekuwa Free Agent kitambo tu. Magoli anafungwa Onana, DDG kakaribishwa nayo Community Shield na Dzeko na anayo Mengi sana ya aina Hiyo tena Hatua Muhimu Zaidi Wembley, Kapigwa na Mount F.A juzi tu tena F.A kapigwa na Gundo. Hii haialalishi Makosa ya Onana lakini namna inawekwa kama DDG Haijawahi mtokea. Goalie wako akiwa "Player of the Season" kuna Shida kubwa

Msimu Jana Newcastle wanasema Game Plan yao ilikuwa ni Kum-Press DDG Aggressively ili apige Long Ball sababu footwork sio nzuri na wao Physicality walikuwa vyema kuliko UTD so Second Balls nyingi wali-win. Kipindi hiki timu nyingi zimegundua Onana ni Press Resistant njia Pekee imekuwa ya kuiadhibu UTD ni kupitia FB's na kufanya Transition ya watu wengi kukimbilia kwenye Box zile "Late Run" na ndo mana Goli nyingi zinafanana. Solution Ipo kwa wiki zinazokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…