Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Onana kakubali Mwenyewe goli la kwanza ni makosa yake alafu we unakuja kumtetea hapa, una ajenda gani ya siri nae? Lile shuti hata mtoto wa darasa la kwanza anadaka

Unasema hii ndio beki mbovu ya Manchester? Tulishawahi kuwa na back four ya Blind, phill Jones, Smalling na Valencia, mbele yao kuna Fellain, Carrick na Herrera unless umeanza kuifuatilia Manchester sababu ya betting.

Kipindi cha Van gaal karibu kila mechi ddg anakua MoM sioni hii ikitokea kwa Onana, unapigiwa mashuti 15 mashuti 10 yanakua goli.
 
Uchambuzi mzur mno kaka unatusaidia amabao hatujaangalia mechi
 
Upo sahihi
 
Yani manyumbu yamefikia stage yanaona Raha na wapo juu kimpira kufungwa na Bayern iliyojichokea kisa kwenye goli 4 wamerudisha 3, so sad. One man down
Nawashangaa ,hawajui baryen ya Sasa Ni ovyo Sana ,juzi hapa wamekimbizwa na kina Xhaka ,

Narudia Tena baryen,Madrid sio Timu tishio kwasasa

Wanaoendelea kuamini katika majina waendelee

Madrid sio kila siku Jude atawaokoa dk za mwisho
 
Nawashangaa ,hawajui baryen ya Sasa Ni ovyo Sana ,juzi hapa wamekimbizwa na kina Xhaka ,

Narudia Tena baryen,Madrid sio Timu tishio kwasasa

Wanaoendelea kuamini katika majina waendelee

Madrid sio kila siku Jude atawaokoa dk za mwisho
Hakuna timu ya mpira hapa
 
Bayern vs man u, game ilikua tofauti sana na watu walivyofikiria
Dakika 15-20 za mwanzo man u aliishika vizuri kabisa game.
Ata Bayern walipopata rhymes yao, still man u walikua bado wapo mchezoni

4-3
Ina maana Bayern alikua anafungika vizuri tu
Rashford anakosa sifa za kuitwa mchezaji mkubwa kwasababu ana mapepe Sana, na anachosahau kwa Sasa yeye ndio wakuibeba timu katika mechi Kama hizi

Kiungo ya man u, inakata Moto mapema sana, sababu ni umri

Mentality ya wachezaji ipo chini, hii inawafanya team kuwa underdog mchezoni

Pundits wangekuwa wanaenda mazoezini kutoa hamasa na sio kuishambulia timu kwenye media ingekua vizuri sana

Ten hag angemaliza tofauti zake na Sancho, asimame Kama baba, mtoto akinyea mkono hatuukati

Kuna uwezekano mkubwa Antony, amrabat, Sancho, mount, maino wangekuwepo Jana Mambo yangekua tofauti
Ndio maana shabiki wa man u aliesema Hawa wakija OT hawatoki, nilimuelewa Sana

Man u wamekosa nafasi nyingi, na wameshindwa kuzitumia nafasi nyingi kuliko hayo makosa ya Onana

Timu yenu inahitaji vitu viatau: utulivu, morali iwe juu, strong mentality
Kama unafatilia mpira vizuri, ni rahisi man u ku-bounce back kuliko chelsea

Bayern anakikosi kizuri wanakosa chemistry nzuri
Au wanakikosi Cha kawawaida lakini wanacheza kwa amsha-amsha tu
Au mentality ya kuwa timu kubwa bado wanaitumia vizuri

Ile Bayern akicheza na Brighton, anakufa vizuri tu
 
Ujuaji as usual
 
Rashford akiamua kutafta goli lawama ,akiamua atoe Pasi lawama , wachambuzi wa mchongo mnazingua sana
 
Huyu ndio mkorea yuleyule ninaemjua mimi?
Hii chambuzi kama ya 3 hivi naiona kutoka kwako ukiongelea Man Utd positive pamoja na matokeo yetu kua mabovu.
Hongera sana Mkuu naona akili yako imeanza kupevuka, chambuzi kama hizi kutoka kwa mtani wako wa jadi hua zinaongeza matumaini ya kuishi kwa watu waliojikatia tamaa pia inasaidia kupunguza suicide rates in sports

Nimependa zaidi hapo uliposhauri kua Pundits wangekuwa wanaenda mazoezini kutoa hamasa na sio kuishambulia timu kwenye media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…