Ole kasema ya moyoni kweli Timu yetu imeozaa inahitaji watu wapya kuanzia wamiliki mpaka wachezaji.
Mambo ya DNA yanatufanya turudi nyuma mpira umebadilika mambo ya kucheza kama Ferguson tuachane nayo 10han atafute mpira wa kueleweka wa Timu kucheza kama Hawa nyumbu wakubwa hawawezi fukuza wote tuanze na academy players.