Inaonekana Ole ana jicho kali sana kwenye kuona wachezaji wanaotakiwa. Wachezaji wengi aliowataka MAN U wakashindwa kuwapata tena kwa bei nafuu ndo leo wanafanya vizuri sana huko. Eg,Haland. Si wafanye namna tu huyu mzee aje amsaidie baba ubaya😂😂😂.Ole Gunnar Solskjaer: “We wanted Jude Bellingham badly — he’s a #mufc player, but I respect he chose Dortmund.
I would have signed Kane every day of the week and my understanding was that he wanted to come. But the club didn’t have the budget with the financial constraints from Covid-19.”
[The Athletic]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2755735
Inaonekana Ole ana jicho kali sana kwenye kuona wachezaji wanaotakiwa. Wachezaji wengi aliowataka MAN U wakashindwa kuwapata tena kwa bei nafuu ndo leo wanafanya vizuri sana huko. Eg,Haland. Si wafanye namna tu huyu mzee aje amsaidie baba ubaya.
Swali la ufahamu tu,ETH akiamua kuwachezesha na makipa wengine nao aone uwezo wao badala ya Onana kila siku si litakuwa jambo jema wajameni?
😂😂😂😂Sio poaOnana kapigiwa ontaget 10
Amefungwa 7
Amedaka 3
😅😅😅 daaah bdo asubuh kwa EPL hiiKwahiyo bado una Iman ya kushika no.2