Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kihalisia huna Timu ya kuweza kupiga walau pass 10 kwa usahihi,

Matokeo ya leo

Baryen 4 manjesta 0
 
Wewe si ukishapigwa marufuku na nyumbu wenzako kuhusu hizi tabiri zako
DAEMUSHIN
 
7hag hata apewe mwaka mzima hawezi kubadili chochote

Mech vs Arsenal anasema alicheza vzr

Mech vs Brighton anasema alicheza vzr

Analalamikia marefa , VAR


huyu kocha atawashusha daraja
 
Leo Bayern anapasuka screenshot hii comment chuma 2
Usikimbie tu, mngekuwa na uwezo hata wakukaa na mpira dk 5 ningewabetia


Brighton aliweka kikos B ,mkasafa ,baryen ya Harry Kane anaweza toka na hattrick

Mpira wa ujanjaujanja kwasasa hauna nafasi ,mtapigwa Hadi na kina Burney ,
 
OLE alisalitiwa

OGS kuhusu kumsajili Cristiano Ronaldo:

"Ulikuwa uamuzi mgumu kukataa, na nilihisi tunapaswa kuufanya, na ikawa uamuzi mbaya."

[@TheAthleticFC]
 
Ole gunar ana uwezo mkubwa kuliko Erik 7 hag a Dutch David Moyes
 
Masingeli leo tukishamdunda Bayern nyumbani kwake tunakuomba usije na ngojera zako humu za "Bayern msimu huu ni mbovu" kumbuka tu kua leo Bayern anacheza na Mbogo aliyetoka kujeruhiwa hivyo hasira zote leo zinaangukia kwake.

Wananchi wa Libya leo asubuhi walikuwa wanahojiwa na mwandishi wa Aljazeera kuhusu athari za mafuriko, lakini cha kushangaza siku ya leo wananchi hao walionekana wana bashasha na furaha ya hali ya juu sana mpaka mwandishi akashangazwa na hilo na kuwauliza:

Kulikoni leo mko na furaha hali ya kua siku 3 zilizopita mmepitia misukosuko na mitihani mikubwa ya kupoteza ndugu na jamaa?

"Mwananchi mmoja akajibu huku anatabasamu kua leo Manchester United ipo uwanjani hivyo hapa tulipo kama unavyotuona wananchi wote tuko na furaha na faraja kubwa mno"

Ghafla baada ya kusikia maneno hayo ya wananchi wa Libya nikajikuta nabubujikwa na machozi na kuyakumbuka yale maneno ya allypipi mzee wa Ngwasuma
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
 
TRAVELLING SQUAD FOR BAYERN


Goalkeepers: Altay Bayindir, Tom Heaton, Andre Onana, Radek Vitek.

Defenders: Victor Lindelof, Lisandro Martinez, Sergio Reguilon, Diogo Dalot, Jonny Evans.

Midfielders: Bruno Fernandes, Christian Eriksen, Casemiro, Facundo Pellistri, Scott McTominay, Dan Gore, Hannibal.

Forwards: Anthony Martial, Marcus Rashford, Rasmus Hojlund, Alejandro Garnacho, Omari Forson.


#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Thomas Tuchel will not be on the touchline for Bayern Munich's Champions League opener against Manchester United because he is set to serve a one-match touchline ban.


[Mirror Football]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Manchester United made a Β£50m bid for Evan Ferguson in the summer. Brighton LAUGHED it off.

[ESPN]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Mbona Maguire beki la dunia hayupo na timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…